Ya CCM kuhusu kuwabembeleza waliosusia bunge la katiba
Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi chini ya Mwenyekiti wake Rais DK JAKAYA KIKWETE ilikutana Dodoma May 5 2014 ili kujadili na kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo mchakato wa Bunge la…
Ndege iliyovunjika kioo ikiwa zaidi ya futi elfu 30 angani.
Ndege ya Delta Airlines aina ya Boeing 767-300 ilikua ikipaa urefu wa futi 38,000 angani na kisha ghafla rubani akawasiliana na abiria ili kuwajulisha kwamba ndege itatua kwa dharura Albuquerque…
Video 2 zikimuonyesha Lil Wayne akitaka kupigana baada ya kurushiwa chupa
Unaambiwa usiku wa pambano la Mayweather na Maidana Lil Wayne alijikuta akiwa pembeni ya timu ya Maidana wakati yeye yuko upande wa Mayweather ambapo walipofika katikati wakati anawapisha jamaa wa…
Mrembo V Stiviano ameyaeleza yote kwa mara ya kwanza kuhusu bilionea Mmarekani aliewabagua watu weusi
V Stiviano ambae ni mrembo alievujisha mazungumzo ya simu ya mkononi kati yake na bilionea Mmarekani mmiliki wa timu maarufu ya mpira wa kikapu ya L.A Clippers Donald Sterling alietoa…
Habari 10 za Amplifaya May 6 2014, waliokufa Kenya, CCM kuhusu UKAWA na mengine
Amplifaya ni dakika 120 za habari kumi za kila aina kwenye countdown ya saa moja mpaka saa tatu usiku kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa on Clouds FM 88.5 Dar es salaam…
Naambiwa na hii ni movie nyingine mpya ya bongo ya kutazama mwezi huu
Katika movie nilizowahi kuzitazama na kumkuta Jaqueline Wolper ni ile ya JB ya Taxi Driver ambayo kila alieiona na kunipa maoni yake aliniambia Wolper kacheza kiuhalisia sana mle ndani, yakiwa…
Full Time ya Man United vs Hull City May 6
Game ya Manchester United vs Hull City May 6 2014 imeisha kwa Man U kuchukua ushindi wa 3 zilizofungwa na Willson kwenye dakika ya 31 na 61 alafu Van Persier…
Sentensi 3 za Chidi Benz toka tukio la kumpiga mpenzi wake wa zamani
Rapper Chidi Benz aliingia kwenye headlines baada ya kudaiwa kumpiga Mwanamke ambae ni mpenzi wake wa zamani hivyo kupelekwa sero weekend ya Pasaka kwa tuhuma za kumpiga Mwanaisha kwenye baa…
Picha 6 za nyumba ya Madee kwa ndani na nje sasa hivi
Hit Maker wa 'pombe yangu' na 'tema mate tuwachape' leo ametoa Exclusive picha kupitia millardayo.com kuhusu mjengo wake ambao upo Mbezi ya Kimara Dar es salaam na umechukua miaka 5…
BREAKING: Taarifa ya Polisi kuhusu bomu lililolipuka Mwanza.
Usiku wa April 13 2014 lililipuka bomu kwenye baa moja Mianzini Arusha na kujeruhi zaidi ya watu 15 wengi wao wakiwa wanatazama mpira ambapo mpaka sasa haijajulikana ni nani alihusika.…