Kuhusu milipuko minne iliyotokea Kenya Weekend iliyopita.
Baada ya kutoka kwa video kwenye mtandao wa alkataib wanamgambo wa kigaidi wa alshabaab watekeleza ugaidi nchini Kenya na kuwaua watu watano katika miji ya Nairobi na Mombasa nchini Kenya.…
Hizi ni dakika 20 za kusikiliza Magazeti yakisomwa Redioni leo Mei 05.
Tumia dakika hizi 20 kusikiliza kilichoandikwa kwenye magazeti mbalimbali leo Mei 5 na hapa yanasomwa na kuchambuliwa kutoka kwenye kipindi cha Power Breakfast na Paul James PJ. 88.4 Clouds Fm…
Kurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo Mei 05 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania.
Full Time ya Real Madrid vs Valencia May 4.
Magoli ya Real Madrid yamefungwa na Ramos kwenye dakika ya 59 na Ronaldo kwenye dakika ya 90 +2 huku ya Valencia yakifungwa na Mathieu dakika ya 44 na Parejo dakika…
AyoTV: Dakika 8 za walichofanya Diamond na Wema Mtwara.
Diamond Platnumz pamoja na baby wake Wema Sepetu waliambatana kwenda 88.4 Mtwara kwa ajili ya show ya heels and tie iliyoandaliwa na Vodacom na kuifanya Makonde Beach May 2 2014.…
Juventus ndio Machampion wa Serie A !
Unaambiwa Juventus ndio Machampion wa Italia baada ya kuubeba ushindi wa leo >>> Juventus are champions of Italy once more after Roma's shock defeat to Catania on Sunday secured a third successive Scudetto.Rudi Garcia's…
Full Time ya Chelsea vs Norwich May 4 2014
Game nyingine ya leo ilikua ni Chelsea vs Norwich ambazo zote zimetoka sare ya 0-0 ambapo kocha Jose Mourinho anasema kikosi chake kilikua slow kwenye kipindi cha kwanza ila hali…
Umeisikia hii?? huyu mamba kauwawa jana Kinondoni Dar (picha 4)
Miongoni mwa stori za town nilizozipata ni hii ya Mamba kuuwawa Block 41 Kinondoni Dar es salaam kwenye area ambayo wanaishi watu kadhaa maarufu wa Tanzania akiwemo Kalapina wa kikosi…
Full Time ya Arsenal vs West Brom May 4 2014
Goli pekee la Giroud kwenye dakika ya 14 leo ndio limechukua headlines za mechi ya Arsena vs West Brom ambapo Arsenal ndio wamechukua ushindi wa hiyo moja.
Hawa ndiyo waliopata tuzo majina na category zao yapo hapa #KTMA2014
Usiku wa Mei 3 ni usiku uliokuwa ukitolewa tuzo mbalimbali kwa wanamuziki waliofanya vizuri mwaka 2013/2014 huku usiku huu ukitawaliwa na burudani mbalimbali kutoka kwa wanamuziki wa Tanzania,hawa ni washindi…