Magazeti ya leo May 01 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania.
Full Time ya Chelsea vs Atletico Madrid April 30 2014
Ni game ambayo Chelsea ndio walitangulia kupata goli la kwanza kupitia kwa Torres kwenye dakika ya 36 lakini likalipwa na Adrian Lopez kwenye dakika ya 44 kisha Costa akaongeza jingine…
Msikilize Mbwiga wa April 30.
Huu hapa mtekenyo wa Mbwiga wa Mbwiguke leo April 30 na hapa leo kazungumzia timu kutoka 89.3 Kigoma. 88.1 Clouds Fm inasikika ukiwa Mwanza Bonyeza play kusikiliza.
Baada ya Didier Kavumbagu huyu ndie mchezaji mwingine aliyesaini Azam
Timu ya Azam bado inaendelea na usajili wake wa wachezaji ambapo baada ya Didier Kavumbagu aliyekua akiichezea Yanga kupewa mkataba wa mwaka mmoja, sasa wamemuongeza mchezaji mwingine kikosini Azam FC.…
Umeuona utani uliosambazwa kuihusu Chelsea inayocheza na Atletico Madrid leo?
Leo Chelsea inacheza na Atletico Madrid ambapo watani wameshalianzisha kwa kusambaza picha na maneno kuhusu club hiyo ya Chelsea ambayo imekua ikipokea headlines za lawama kwamba imekua ikicheza kwa mfumo…
Mtangazaji, Producer na Wasanii wa bongo wakila ndizi kupinga alichofanyiwa mchezaji wa Barcelona.
Mtangazaji wa MKASI TV Salama Jabir kupitia page yake ya instagram @ecejay amepost picha ya mastaa kadhaa wa bongo wakiwemo wasanii D-Knob, Godzilla Producer Marco Chali na wengine wakiungana na…
Mwigizaji maarufu aliefariki dunia
Imefahamika kwamba mwigizaji Bob Hoskins amefariki dunia jana usiku akiwa na umri wa miaka 71 baada ya kusumbuliwa na pneumonia. Bob alistaafu kuigiza toka mwaka 2012 baada ya kuanza kusumbuliwa…
Mwanasiasa wa Tanzania aliemsupport Dani Alves kwa kula ndizi
Kwenye mechi kati ya Barcelona na Villareal kuna shabiki mmoja alimrushia ndizi Mbrazil Dani Alves anaeichezea Barca kitendo ambacho kilionyesha kabisa ni ubaguzi wa kufananishwa na Nyani ambapo Dani aliiokota…
Wema Sepetu na Diamond Platnumz kwa mara ya kwanza rasmi kuwa kwa jukwaa moja.
Inawezekana uliwahi waona kwenye matamasha mbalimbali Wema Sepetu na Diamond wakiwa pamoja lakini hua inakua kama 'Sapraiz' ili pengine kuleta hamasa kwa mashabiki wao,sasa rasmi hii ni show ya kwanza…
Kuhusu Young Dee kupigwa alipokwenda Skylight Band.
Kama hukusikia hii inamhusu Young Dee na hii inasemekana kuwa alipigwa makonzi wakati tamasha la Skylight Band likiendelea ambapo Soudy Brown anaamplify taarifa hizi ambazo Young Dee nae amesikika akizizungumzia.…