Kuhusu Young Dee kupigwa alipokwenda Skylight Band.
Kama hukusikia hii inamhusu Young Dee na hii inasemekana kuwa alipigwa makonzi wakati tamasha la Skylight Band likiendelea ambapo Soudy Brown anaamplify taarifa hizi ambazo Young Dee nae amesikika akizizungumzia.…
Tuzo za Gospel Kenya zimetangazwa,wapo hadi Madj cheki hapa List ilivo.
Jioni ya April 29 kwenye jiji Nairobi,Kenya imetoka list ya wasanii wanaowania tuzo mbalimbali za muzikiwa Gospel ambapo hii ni awamu ya tisa ya tuzo hizi zinajulikana kama Groove Awards…
Picha za watu 14 maarufu wakila ndizi kupinga ishu ya Dani Alves, yumo Waziri na msanii Nigeria.
Kwenye mechi kati ya Barcelona na Villareal kuna shabiki mmoja alimrushia ndizi Mbrazil Dani Alves anaeichezea Barca kitendo ambacho kilionyesha kabisa ni ubaguzi wa kufananishwa na Nyani ambapo Dani aliiokota…
Huyu ndiye msanii wa kwanza wa Bongo Fleva kupata Vevo Account.
Gosberth Kibanza aka Gosby msanii wa kizazi kipya mwenye hit mbalimbali kama Monifere na Video yake ya BMS ambayo ilivuka mipaka mpaka kituo cha channel O ya Afrika Kusini amekuwa…
Happy ya Pharrell imeingia mpaka shuleni, tumia dakika 1 na sekunde 58 hapa.
Imekua hit single ambayo imemiliki hata chati za muziki kwenye redio za Tanzania ikiwemo Clouds FM Top 20 ambapo ilikaa kwenye namba 1 kwa zaidi ya wiki nne mfululizo ikiwa…
Sentensi 8 kuhusu sheria mpya ya ndoa nchini Kenya… Wake wengi na kama ukivunja sheria.
1. Kuanzia April 29 2014 Mwanaume na Mwanamke ambao wapo kwenye ndoa wana haki na majukumu sawa kwenye ndoa yao huko Kenya hii ikiwa ni baada ya Rais Uhuru Kenyatta…
Picha mbili za maamuzi ya Samuel Eto’o kuhusu ile ishu ya Dani Alves
Unaambiwa club ya Villareal imemfungia maisha yule shabiki ambae alionyesha kitendo cha kibaguzi kwa kumrushia ndizi Dani Alves, kitendo ambacho kilitafsiriwa kwa Alves kufananishwa na nyani. Wachezaji kadhaa wamemsupport kwa…
Kuwa wa kwanza kuusikiliza wimbo mpya wa Steve Rnb She Dance.
Mkali toka Tanzania ambaye yupo kwenye list ya Wanamuziki wanaofanya vizuri kwenye muziki wa Rnb,Watanzania wengi tulimtambua Steve Rnb baada ya kushirikishwa na Mr. Blue kwenye wimbo wa Tabasamu,huu ni…
Sikiliza Magazeti yakisomwa Redioni leo April 30.
Kama kawaida ya millardayo.com kila unaposoma vichwa vya habari vya Magazeti tunakupa nafasi ya kusikiliza hayo hayo Magazeti ya siku husika yakisomwa na kuchambuliwa na PJ kupitia Power Breakfast. 96.5…
Kurasa za mwanzo na mwisho Magazetini leo April 30 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania.