Picha 9 za jinsi taarifa mpya za ndege ya Malaysia zilivyopokewa na ndugu na msg waliyotumiwa.
Waziri wa Malaysia amebadilisha vichwa vya habari duniani kwa kusema ripoti ya shirika moja la Uingereza inadhihirisha kwamba ndege ya Malaysia iliyopotea zaidi ya siku 15 zilizopita, ilianguka kwenye bahari…
Kuhusu kamati 12 zilizoundwa na Sitta na hotuba ya JK kujadiliwa.
Kufuatia kuwepo kwa hoja mbalimbali za wajumbe wa Bunge maalum la katiba kuhusu kukinzana kwa Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete aliyoitoa wakati wa uzinduzi wa bunge hilo na rasimu ya…
Msikilize Mbwiga wa March 24.
Huu ni udambwi dambwi wa Mbwiga wa March 24 ni stori za kimichezo ambazo zimewahi kutokea kipindi cha nyuma hasa kwenye mpira wa miguu. 88.1 Clouds Fm inasikika ukiwa Mwanza.…
Kuhusu Mkurugenzi aliefutwa kazi Maliasili.
Wizara ya maliasili na Utalii imemfuta kazi mkurugenzi wa bodi ya utalii Tanzania dokta Aloyce Nzuki kwa kutokuwa na imani nae pamoja na utendaji usioridhisha. Hii imekuja baada ya kikao…
Mzigo wa Jaguar toka Kenya mpaka Burundi. @RealJaguarKenya
Ni show ambayo ilifanyika kwenye uwanja wa mpira unaitwa Nyakabiga huko Burundi ambapo staa huyu wa Kenya ameendelea kuvunja rekodi yake ya kupata watu wengi kwenye shows huku hii ya…
Wale wa Chris Brown hii ni video yake mpya akiwa na Lil Wayne na Tyga.
Licha ya Chris Brown kuwa jela akitumikia kifungo chake cha mwezi mmoja kazi zake za kimuziki bado zinaendelea ambapo imedondoshwa video yake mpya kutoka kwenye album yake 'X' ambayo inatarajiwa…
Picha 4 alizoweka Ray C kwenye instagram na alichoandika.
Hili ni gazeti lililotoka November 2 2012 ambapo lilitoa picha za Ray C alizopigwa muda mfupi baada ya kutumia dawa za kulevya baada ya kunaswa na Mapaparazi. Baada ya kuweka…
Stori 10 za AMPLIFAYA March 24 2014
Amplifaya ni show ambayo inasikika kupitia Clouds FM Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa moja usiku ikihusika kutoa stori zote kumi kubwa za siku za siasa, muziki, michezo, movies, maisha na…
Video ya behind the scene jinsi Kanye West, Kim K na mtoto wao wakipiga picha za Vogue Magazine
Moja ya cover za magazine zinazomiliki headlines hivi sasa ni hii cover ya Vogue ambayo Kim Kardashian ametokea na mpenzi wake Kanye West wakiwa kwenye mavazi ya harusi. Hii hapa…
Ndege ya Malaysia Airlines ilidondoka kusini mwa bahari ya hindi
Baada ya uchunguzi wa muda mrefu kuitafuta ndege ambayo ilidhaniwa kuwa imepotea au kupatwa na matatizo mengine baada ya kushindwa kufika sehemu iliyotakiwa kwa wakati, taarifa za uchunguzi mpya zilizotangazwa…