Eti Mourinho alishangilia hivi kwenye chumba cha Wachezaji leo… (video)
Game ya leo ya Chelsea vs Arsenal imeisha kwa Chelsea kufunga ushindi wa goli sita kwa sifuri ambapo list ya wafungaji na mengine vipo kwenye post iliyopita. Wakati game hii…
Matokeo ya Yanga vs Rhino Rangers ya Tabora
Klabu bingwa ya ligi kuu ya Vodacom Dar Young Africans leo imeendeleza ushindi katika mfululizo wa mechi za ligi kuu ya Vodacom ambapo imefanikiwa kuifunga Rhino Rangers ya Tabora 3-0…
@ZittoKabwe kuhusu rasimu ya katiba mpya, nukuu aliyoipenda, kisichomridhisha, mapato na mengine
Bunge la katiba ambalo limekusanyika kwa ajili ya katiba mpya limekua ni bunge ambalo pia Watanzania wengi wamekua wakilifatilia na hata kutoa maoni yao kuhusu kinachoendelea. Yafuatayo ni aliyoyaandika Zitto…
Full Time ya Chelsea vs Arsenal March 22 2014 na majina ya wafungaji.
Inawezekana ikawa ni mechi nyingine ya soccer iliyozungumziwa sana kwenye mitandao ya kijamii ndani ya kipindi cha wiki moja kutoka sasa... Kama unataka usipitwe na stori kama hizi iwe usiku…
Wale wa Yanga – hiki ndio kikosi cha Yanga kilichotangazwa kucheza leo na Rhino
Muda mchache ujao mabingwa watetezi wa VPL Yanga wanajitupa katika dimba la Al Hassan Mwinyi mjini Tabora kupambana na Rhino Rangers, millardayo.com imebahatika kupata kikosi cha Yanga cha leo na…
Unajua sasa ukiingia na Kuku uwanja wa taifa utapata adhabu ya kwenda jela kwa muda gani? Hii hapa
SHABIKI yeyote atakayeingia uwanjani na mnyama yeyote iwe kuku au njiwa atakumbana na rungu la sheria ya kufungwa jela siku 90 au faini ya Sh. 100,000. Katika siku za hivi…
Wakati katimiza mechi 1000 leo, hizi ndio rekodi zake mbalimbali za Arsenal
Kocha Arsene Wenger leo katika mchezo dhidi ya Chelsea atatimiza mechi 1,000 tangu alipoanza kuifundisha klabu hiyo ya London ya Kaskazini. Akiwa anatimiza michezo hiyo - mtandao wa Opta unaodili…
Show mpya itayoanza kuonekana on Clouds TV.
Clouds TV ambayo inapatikana kwenye ving'amuzi mbalimbali Tanzania, inayo furaha kukupa taarifa kwamba hii ni show mpya ambayo itaanza kuonekana 1st April 2014 na itakua ni Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia…
Kauli ya aliyemsajili Ronaldo Madrid, kuhusu mchezaji huyo kurejea Man United
Raisi wa zamani wa Real Madrid Ramon Calderon anaamini Cristiano Ronaldo anaweza kurudi Manchester United huko mbeleni. Mshambuliaji huyo wa Ureno alitumia miaka 6 kuitumikia klabu ya Old Trafford kati ya mwaka 2003 na 2009…
Alichosema Uhuru Selemani kuhusu kubaki au kuondoka Simba msimu ujao.
Winga wa timu ya Simba ya Dar es Salaam Uhuru Selemani ambae alirudi kwenye klabu hiyo mwaka jana akitokea Coastal Union amefunguka juu ya mustakabali wake ndani ya klabu hiyo.…