Alichosema Sir Alex Ferguson kuhusu Wenger kutimiza mechi 1000 na Arsenal
Kocha Arsene Wenger kesho atatimiza jumla ya michezo 1000 tangu aanze kuifundisha klabu ya Arsenal mwaka 1996 ambapo katika kusherehekea rekodi hiyo makocha wenzake akiwemo Sir Alex Ferguson wemeongelea kuhusu…
Nilipopita kwenye birthday party ya Jokate.
Tarehe 20 March 2014 ilikua siku ambayo mrembo na mtangazaji wa TV Jokate Mwegelo alipokua akisherehekea kuingia katika mwaka wake mpya. Party yake ndogo kwa marafiki na watu wake wengine…
Kurasa za mwanzo na mwisho Magazetini leo March 22 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania.
Robin Van Persie nje wiki 6 – hizi ndio mechi atazokosa
Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United Robin van Persie ameripotiwa kwamba amepata majeruhi ya goti baada ya kuumia katika mchezo wa raundi ya pili wa hatua ya 16 ya…
Kama hukuisikiliza hotuba ya Rais Jakaya Kikwete leo March 21 kupitia Bunge la Katiba,ipo hapa yote.
Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete leo March 21 amelihutubia Bunge Maalum la Katiba baada ya kupata mwaliko wa Mwenyekiti wa Bunge hilo Mheshimiwa Samuel Sitta,ameongea vitu vingi sana ikiwa ni pamoja…
Taarifa kuhusu kocha Simba kuongezewa mkataba na kuikataa klabu hii ya Kenya
Kocha mkuu wa Wekundu wa Msimbazi Simba Zdracko Logarusic amefikia makubaliano ya kuongeza mkataba na klabu hiyo utakaoendelea kumuweka Msimbazi kwa miaka mingine miwili. Katika makubaliano hayo Logarusic atalipiwa nyumba…
Kuhusu mtandao wa twitter kufungiwa Uturuki.
Waziri mkuu Tayyip Erdogan wa Uturuki amezungumza katika mkutano wa hadhara wa uchaguzi kwamba anataka kuuondoa mtandao wa kijamii wa twitter katika nchi hiyo bila ya kujali mawazo ya jumuiya…
Ratiba ya Ligi kuu weekend hii. Yanga, Simba, Azam wanakipiga na nani?
Yanga inaumana na Rhino Rangers katika moja kati ya mechi mbili za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) zitakazochezwa wikiendi hii katika miji miwili tofauti. Mechi hiyo itafanyika kesho (Machi 22…
Kuhusu picha za Snura anazoonekana yupo kwa Mganga wa Kienyeji,hii ni taarifa yake.
Siku chache zilizopita kupitia blogs na website mbalimbali zilisambaa picha zilizokuwa zikimuonyesha Snura akiwa kwa Mganga wa Kienyeji akiwa kama anapatiwa maagizo na mganga,ambapo kwa picha hizo zipo baadhi kamshika…
Ikiwa leo ni miaka 3 tangu vifo vya wanamuziki wa 5 Star,hiki ndicho alichokiandika Hammer Q.
Leo ni kumbukumbu ya vifo vya wanamuziki wa 5 Star ambayo chanzo cha vifo hivyo ni ajali ya basi aina ya Coaster iliyokuwa na namba za usajili T 361 BGE…