Umekisoma alichosema Rais Obama kuhusu bangi?
President Barack Obama wa Marekani amesema kuvuta bangi ni salama zaidi kuliko kunywa pombe lakini akawasisitizia mabinti zake kwamba hilo sio wazo zuri pia ambapo kwa mujibu wa gazeti la…
Interview aliyoifanya mwezi uliopita Lesego Motsepe ‘Letty Matebane’ wa Isidingo aliefariki jana.
Taarifa zilizotoka zinasema Motsepe ambae alijitangaza kuishi na virusi vya UKIMWI mwishoni mwa mwaka 2011 amekutwa amefariki saa tano asubuhi nyumbani kwake. Kama hii taarifa ilikupita unaweza kusoma kwenye post…
Kama umewahi kuitazama Isidingo, huyu ndio mwigizaji wao aliefariki jana.
Lesego Motsepe maarufu kama Letty Matabane ni staa wa tamthilia ya Isidingo ambae uigizaji wake kwenye sehemu kubwa ya tamthilia hiyo ambayo Watanzania wengi wamekua wakiifatilia kupitia ITV. Taarifa iliyotolewa…
Niruhusu nikupeleke Ikulu kupitia hapa, nikuonyeshe jinsi walivyoapishwa leo.
Leo January 20 2014 Ikulu Jijini Dar es salaam Rais Jakaya Kikwete aliwaapisha Mawaziri wapya waliotangazwa kwenye mabadiliko ya baraza la Mawaziri yaliyofanywa hivi karibuni. Picha hiyo ya kwanza na…
Hii ndio ajali nyingine tena ya leo iliyotokea Lindi.
Taarifa nyingine ya ajali ndani ya siku ya leo inatoka huko Linda na inaihusu ajali ambayo imetokea mchana Mitwelo mkoani Lindi na kuhusisha basi Al-hamdulilah linalofanya safari zake kati ya…
Taarifa nyingine kuhusu ajali ya Toyota Noah Singida, hii ni kauli ya Polisi.
Hizi ni dakika chache tuzitumie kusikiliza alichokisema Kamanda wa polisi mkoa wa Singida ACP.Geofrey Kamwela kuhusu ajali iliyotokea leo asubuhi ambayo imehusisha gari aina ya Toyota Noah na Scania lori…
Alichosema Ally Rehmtullah Kuhusu hii keki ya Birthday yake yenye umbo la sehemu ya mwili wa mwanaume
Tangu jumamosi kumekua na taarifa nyingi kupitia mitandao ya kijamii kuhusu keki aliyoiandaa Fashion Designer Ally Rehmtullah kwenye kusherehekea siku yake ya kuzaliwa, keki hii ilitengenezwa kwa umbo la Mwanaume…
Maumivu ya mapenzi mpaka India, soma hii ya kifo cha ghafla cha mke wa Waziri
Kimetokea kifo cha gafla cha mke wa waziri mmoja huko India baada ya utata kati yake na umma ambapo alimtuhumu mume wake kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke mwingine ambapo kifo hicho kilikua cha ajabu na ghafla,…
Sikiliza Hekaheka ya leo ni kuhusu Kijana aliyembaka mtoto mpaka kupoteza fahamu.
Hili ni tukio la kusikitisha ambalo limetokea huko Salasala ni kuhusu kijana mkazi wa Salasala kumbaka mtoto wa miaka 6 ambaye kwa kitendo hicho moja ya vitu vilivyotokea ni mtoto …
Hii ni ajali nyingine ya Toyota Noah, zaidi ya kumi wamefariki hapa
Ni taarifa kuhusu vifo vya watu 13 kupoteza maisha huku watatu wakijeruhiwa kwenye ajali ya Toyota Noah maarufu kama Noah Mchomoko waliyokua wakisafiria kutoka Itigi kwenda Singida kugongana uso kwa…