Umeshausikia wimbo mpya wa Peter Msechu?
Hii ni nafasi yako ya kusikiliza na ku-download wimbo mpya wa Peter Msechu "Fire"
Hii ni taarifa ya kusikitisha inayomuhusu Rich Mavoko.
Leo January 15 Rich Mavoko kupitia ukurasa wake wa instagram ametoa taarifa za kusikitisha na marafiki zake wengi wameanza kumpa pole kupitia mtandao huo. Rich Mavoko ameandika,
Tamko la wenyeviti wa Ccm Tanzania bara baada ya kauli ya Mgana Msindayi
Wenyeviti wa CCM mikoa ya Tanzania bara wametoa tamko la kumkana Mwenyekiti wa Umoja wa Wenyeviti CCM Taifa Mgana Mzindakayi la kutowauza wenyeviti wenzake kwa watu wanaotarajia kugombea urais kabla…
Walichokisema Bakwata juu ya wanaopora kwenye misikiti.
Baraza kuu la waislamu Tanzania (BAKWATA) limekemea vitendo vinavyofanywa na baadhi ya waumini wa dini hiyo ya kuvamia na kupora misikitini na kusbabisha uvunjifu wa amani,akitoa salam za baraza hilo…
Hii ni kuhusu Magari mawili yaliyowaka moto Iringa leo.
Mkoani Iringa leo basi moja lanusurika kuwaka moto na daladala moja yateketea yote kwa moto wakati wanafunzi wa masomo ya kuunga vyuma katika gereji bubu eneo la uwanja wa Samora …
Isikilize You Heard ya leo Januari 15.
You heard ya leo inamhusu Memba wa zamani wa kundi la Daz Nundaz Family msanii Feruzi kwa hiki kilichomtokea siku chache zilizopita baada ya tuhuma zinazomkabili kusemekana zilimpeleka polisi,Soud Brown…
Hii hapa Heka heka ya leo Jan 15
Heka heka hii ni muendelezo wa ile heka heka ya yule baba aliemkataa mtoto wake baada ya kusemekana hafanani nae huku sababu kubwa ikiwa ni Kisogo alichozaliwa nacho mtoto huyo…
Dakika 19 za kusikiliza Magazeti yakisomwa Redioni.
Huu ni muda wa kusikiliza kilichosomwa redioni leo kupitia kurasa mbalimbali za Magazeti kwenye kisehemu za Kuperuzi na Kudadisi yaliyochambuliwa na Gerald Hando sikiliza kupitia 88.0 Clouds Fm Tabora. Bonyeza…
Unatamani kuona Magazeti ya Tz yameandika nini kwenye siku hii ya tarehe 15 January 2014?
Kila siku hapa millardayo.com huwa naweka magazeti ya siku husika, kuanzia udaku michezo na hardnews nikiamini kwamba wakati mwingine unaweza kuwa mbali na yanakopatikana au yakawa yanachelewa kukufikia asubuhi. Lengo…
Hii ndiyo picha aliyopost Jackie Cliff kwenye instagram leo January 15
Baada ya exclusive interview na AyoTV ambapo Juma Jux alisema kwamba Jackie Cliff yupo salama lakini sehemu alipo hata yeye haijui. Jackie Cliff amepost picha hiyo hapo juu kwenye account…