Leo ni kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar hii leo inaadhimisha kumbukumbu ya miaka hamsini ya mapinduzi ambayo kwenye historia yanaonyesha yalimaliza utawala wa Kisultani visiwani humo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa…
Kama una harusi hivi karibuni,Hii inakuhusu toka kwa Linex
Wasanii wa Tanzania kwa sasa wamekua na mbinu nyingi za kujiongezea kipato mbali na kipato wakipatacho kwa sasa ambacho ni showz na kuuza miito ya simu lakini kwa sasa wengi…
Rihanna anapokutana na watu wake
Katika wale mashabiki wenye mapenzi na hisia basi na huyu yumo, ni mtoto ambae ni shabiki mkubwa wa RiRi na walikutana wakati mwimbaji huyu akitoka kucheki game ya The Heat…
Huyu mtoto wa Whitney Houston si kaolewa aisee
Stori inaamplfy kwamba mtoto wa mwimbaji staa Marehemu Whitney houston, Bobbi Kristina amevunja mapendekezo ya familia yake ya kutoolewa na kijana ambae ni kama kaka yake, mshkaji ambae alilelewa toka…
Magari matatu ya mastaa wa Nigeria kwenye picha moja, Wizkid, D Prince na Don Jazzy.
Kuna siku nilikua napiga stori na baadhi ya watu wangu wa nguvu ambao wamefanikiwa kufika Nigeria na kujionea jinsi kiwanda cha muziki wa huko kilivyo na taratibu zake ambazo wanaona…
Picha za Baba mzazi wa Joh Makini na Nikki wa II na biashara anayofanya.
Simon John Mseke ndio jina lake na ana umri wa miaka 49, bado anaonekana ni kijana na akisimama na watoto wake usipoambiwa unaweza kudhani ni watu na kaka yao lakini…
Ni kweli Watanzania 50 walinyongwa China 2013? wanaoshikiliwa je? …..jibu liko hapa
Ni taarifa nyingi ambazo zimekua zikipokelewa na Watanzania kupitia Magazeti, mitandao na hata redio wakati mwingine ambapo moja ya stori ambazo siwezi kuzisahau kwa 2013 ni ile ya Watanzania hamsini…
Mvua za Dodoma hazijazuia tu Treni kwenda, jingine ni hili
Kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha Mkoani Dodoma, nyumba 127 zimebomolewa na mafuriko ambapo watu 493 wamekosa makazi ya kuishi, pia nyumba 240 zimezingirwa na maji katika Kijiji cha Chipogolo Kata…
Magazeti ya leo Jumamosi January 11 2014
Kila siku hapa millardayo.com huwa naweka magazeti ya siku husika, kuanzia udaku michezo na hardnews nikiamini kwamba wakati mwingine unaweza kuwa mbali na yanakopatikana au yakawa yanachelewa kukufikia asubuhi. Lengo…
Pichaz za Bball Kitaa chini ya mataa Jan 10 2014 Dsm! @bballkitaa
Ni kweli kwa kipindi kirefu kwenye ardhi ya Tanzania tumezoea kwenda kwenye sehemu zilezile za starehe kama vile beach na bar lakini ni furaha yangu kwa sasa kuona vijana wa…