Zile picha za nyumba zimerudi millardayo.com ! za nyumba 3 za leo ndio hizi.
Sio kila kinachoonekana hapa kila mtu ana uwezo wa kukipata au kukijenga ila dhumuni la hii post ambayo sasa imerudi na itakua inakujia mara kwa mara kupitia millardayo.com ni kukupa…
Umeshawahi kuiona printer inaprint mpaka CHOCOLATE? heheh iko hapa
Teknolojia inazidi kukua ambapo sasa hivi kwenye maonyesho ya CES (Consumer Electronic Show) huko Las Vegas Marekani kumeonyeshwa printer mpya yenye uwezo wa ku-print vitu vinavyoweza kuliwa na binadamu. Mfano…
Kwa unaependa muziki wa Jamaica, tazama video zao 10 kali hapa.
Hii Top 10 ya video za Jamaica leo inatoka Trace TV, kituo cha Ufaransa ambacho kinajihusisha na burudani kwa asilimia 100 ambapo kinacheza video za Afrika, Marekani na mataifa mengine…
Ajirekodi video akiimba wimbo mmoja kila siku kwa muda wa miaka 3.
Matt Perren kijana mdogo ametumia karibia kila siku kwa muda wa miaka mitatu kujirekodi akiimba wimbo mmoja. Hivi sasa ameziunganisha hizo video akiimba huo wimbo mmoja kwenye video ya dakika…
Najua ukimya wa Mwasiti @MwasitiJ ulichukua headlines, zipokee hizi kwa sasa.
Naambiwa hii single mpya ya Mwasiti itawafikia Watanzania wote na fans wake kwa ujumla kuanzia January 13 2014 na itakua single yake ya nane kuitoa toka aanze muziki rasmi mwaka…
Tumia dakika zako 12 kusikiliza hapa Magazeti ya leo Jan 10 yakisomwa redioni.
Kama kawaida mtu wangu wa nguvu baada ya kuona kilichoandikwa kwenye kurasa za Magazeti sasa ni zamu ya kusikiliza magazeti hayo yakisomwa na kuchambuliwa kupitia 88.4 Clouds Fm Pwani. Bonyeza…
Huyu ndio mshindi wa African footballer of the year Award
Kwenye utoaji wa tuzo hii uliofanyika Lagos Nigeria, midfielder wa Ivory Coast... mkali ambae anaichezea Manchester City baada ya ushindi wa hii tuzo kwa mara ya tatu amesema 'nampongeza kaka…
Magazeti ya leo January 10 2014 Udaku, Michezo na Hardnews
Kila siku hapa millardayo.com huwa naweka magazeti ya siku husika, kuanzia udaku michezo na hardnews nikiamini kwamba wakati mwingine unaweza kuwa mbali na yanakopatikana au yakawa yanachelewa kukufikia asubuhi. Lengo…
Beyonce nomaa eeeh?!! tazama alichofanya mtoto wa miaka minne wa The Game kwenye ‘drunk in love’
Uzito wa Beyonce kumiliki headlines haupo kwenye Radio, TV au mitandao peke yake.... pamoja na ukubwa wa mashabiki wa kike alionao mama Ivy, naona kumbe anao hata watoto kwenye hiyo…
Yule Mwanamke mfanyabiashara alieongea kwa uchungu kuhusu kodi mpaka machozi mbele ya Waziri.
Hii ilikua ni kwenye mkutano ulioandaliwa na Wafanyabiashara kutoka sehemu mbalimbali Tanzania wakiwemo wa Kariakoo ambao waliamua kufunga maduka yao Alhamis January 9 2014 kwa ajili ya kukutana na Waziri…