Kuhusu boti iliyozama Nungwi, hizi ni taarifa za idadi ya ambao hawajaonekana na waliofariki.
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Bahari Zanzibar Abdi Maalim amesema licha ya jitihada za kuendelea kuwatafuta watu wanaohofiwa kuzama baharini baada ya boti ya Kilimanjaro II kupata dhoruba…
Alichokisema Diamond kuhusu yeye na Wema Sepetu na movie yao 2014.
Diamond alidondoka kwenye Exclusive interview ya XXL ya Clouds FM na kuyajibu maswali ya Raymond Mshana ambae ndio alikua anaifanya XXL kwa siku hii ya January 6 2014. Kwenye show…
Msikilize Mbwiga wa Mbwiguke leo Jan 6
Huu ni mtekenyo wa Mbwiga wa Mbwiguke ambao unakuwepo kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa kupitia 88.4 Clouds Fm Mtwara,Ni stori ambazo zinahusu michezo na wachezaji ikiwa ni pamoja na vituko vyao…
Kuhusu msanii Mez B kuchomwa kisu
Msanii wa Chemba Squad Mez B Jumamosi iliyopita amechomwa kisu na watu asi0wafahamu maeneo ya Sinza karibu na Vatican City Dar es salaam katika kisa ambacho bado mpaka sasa kina…
Hatimae, ile video ya Diamond na Davido imetoka… iko hapa
Ni zaidi ya wiki 6 toka zimeanza kuenea stori za Diamond kufanya kolabo na staa wa Nigeria Davido ambapo hatimae ile kiu ya longtime inakatwa leo baada ya Video ya…
Kitu kipya kutoka kwa msanii Amini – November or December
Kutoka Tanzania House of Talent msanii "Amini" ametoa wimbo mpya na ameupa jina la November Or December. Pata nafasi ya ku-download na kuusilikiza hapa.
Picha 5 zilizopigwa kwenye hii boti baada ya kuzama ikitokea Pemba jana.
Taarifa inasema boti ya Kilimanjaro II iliyokua ikitokea Pemba kwenda Unguja January 5 2014 sehemu yake ya mbele ilizama kwa dakika kadhaa kwenye mkondo wa maji ndani ya eneo hatari…
Baadhi ya picha za kuagwa kwa Waziri wa fedha Iringa.
Ni kuagwa kwa Waziri wa fedha William Mgimwa aliefariki siku ya kwanza ya January 2014 saa tano asubuhi kwenye hospitali aliyokua amelazwa huko South Africa.
Picha 5 za nje ya Mahakama kuu sasa hivi kwenye kesi ya Zitto na Chadema
Kesi inayomhusu Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe na Chadema leo inatarajiwa kuendelea baada ya kuahirishwa Ijumaa iliyopita ambapo ilitangazwa kuendelea leo saa nne lakini mpaka sasa saa tano bado…