Kuhusu wanachama wa Chadema waliovuliwa uanachama leo
Leo Chadema wametangaza uamuzi yao juu ya wanachama wao Dk. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba kwa kuwavua rasmi uanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. Kamati Kuu ya Chadema ilikutana…
Mambo 7 yaliyosemwa na abiria aliekuwemo kwenye boti inayodaiwa kuacha watu baharini ikitokea Pemba.
Haya ni maelezo ya shuhuda Mohamde Hamis ambae alikua miongoni mwa abiria ndani ya boti. 1. Boti ilipofika Nungwi sehemu yake ya mbele ilizama na mabegi yake na iliporudi juu…
Picha za mwanzo, uthibitisho wa tukio la watu waliorushwa baharini kutoka kwenye boti wakitokea Pemba
Leo saa tano asubuhi taarifa zilianza kusambaa kuhusu boti ya Kilimanjaro II ikitokea Pemba kwenda Unguja kupata dhoruba ya kupigwa na upepo mkali ilipofika kwenye eneo hatari la Nungwi kulikopelekea…
Kilichosemwa na Polisi kuhusu taarifa za abiria 10 ndani ya boti kurushwa kwenye maji wakitokea Pemba
Saa tano asubuhi leo zimetoka taarifa za abiria wapatao kumi kurushwa ghafla baharini baada ya boti waliyokua wakisafiria kutoka Pemba kwenda Unguja kupatwa na dhoruba ya upepo mkali kwenye eneo…
Breaking: Taarifa kuhusu boti iliyorusha watu 10 baharini ikitokea Pemba.
Kwa mujibu wa Abiria waliohojiwa wanasema Boti ya Kilimanjaro II ikitokea Pemba kuelekea Unguja imepigwa na dhoruba leo Jan 5 2014 kwenye saa nne asubuhi na kuponea kuzama ilipokua kwenye…
Magazeti ya leo January 05 2013
Kila siku hapa millardayo.com huwa naweka magazeti ya siku husika, kuanzia udaku michezo na hardnews nikiamini kwamba wakati mwingine unaweza kuwa mbali na yanakopatikana au yakawa yanachelewa kukufikia asubuhi. Lengo…
Picha na taarifa kuhusu huyu Mwanamke aliejifungua hawa mapacha wanne Mbeya.
Taarifa ikufikie kwamba Aida Nakawala mwenye umri wa miaka 25 kutoka kijiji cha Chiwanda Wilaya ya Momba Mkoa wa Mbeya (87.8 Clouds FM) aliejifungua watoto wanne mapacha kwa mkupuo kwenye…
Katika matukio ya Watanzania kushangaa matukio, hili unalipa namba ngapi kati ya yote ya 2013?
Dec 2013 hii ndege inayotajwa kuwa ya Ethiopia ilitua kwa dharura kwenye kiwanja cha ndege Arusha (87.9 Clouds FM) ambacho kitaalamu hakiwezi kuhimili kupokea ndege kubwa kama hii ndio maana…
Hivi ndivyo Urban Fresh Jitambue ilivyokuwa
Tamasha la Urban Fresh Jitambue lililokuwa na moto usemao Jiamini U Can Do It limemalizika kwa wanafunzi mbalimbali kupata chakula cha ubongo kutoka kwa wasemaji mbali mbali waliokuwepo siku ya…
Kuhusu hali ya Michael Schumacher,soma hapa!!!
Meneja wa bingwa zamani wa mashindano ya Formula One Michael Schumacher amewashutumu baadhi ya madaktari wanamtibu mteja wake kwa kile alichokiita ripoti isiyi ya kweli juu ya afya ya dereva…