Hawa ndio walioteuliwa kuwa wajumbe wa Bunge maalum la Katiba.
Jioni ya February 07 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Mh.Florence Turuka alitangaza majina ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba,ambalo bunge hilo litakutana kwa…
Kurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo February 08 2014
Kila siku hapa millardayo.com huwa naweka magazeti ya siku husika, kuanzia udaku michezo na hardnews nikiamini kwamba wakati mwingine unaweza kuwa mbali na yanakopatikana au yakawa yanachelewa kukufikia asubuhi. Lengo…
Picha hizi na video yake ya Shakira ft. Rihanna vimemkasirisha mwanasiasa Colombia
Wengi waliosikia kuna wimbo wa Shakira na Rihanna unakuja walipata hamu ya kujua muunganiko wa hivi vichwa utakuwaje? Kolabo hii ilipotoka, muda mfupi baadae ilianza kupokea maoni mbalimbali yakiwemo ya…
Kwa unaefatilia muziki wa Nigeria, video namba 1 kwa sasa ni hii
Anaitwa Eniola Akinbo lakini la ustaa ni Niyola, mkali alieanza kuimba toka akiwa na miaka 8 ambapo miaka kadhaa baadae alifanya kazi na kampuni kadhaa zinazomiliki wanamuziki Nigeria kabla ya…
Hii ya huyu mtoto Mchina wa miaka mitano kuendesha Caterpillar nayo imetisha. (video)
Hii video nimeitazama zaidi ya mara sita labda ni kwa sababu huwa napenda watoto na pale wanapofanya maajabu ndio mapenzi yanazidi kabisa. Hii video sio mpya kwenye internet ila nimechelewa…
Za Insta: Wema Sepetu kuhusu wanaomtukana, @vanessamdee Nigeria, Diamond muonekano
Instagram umekua mtandao mwingine wa kijamii unaokua kwa kasi kwenye nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania kwa sasa ambapo zifuatazo hapa chini ni stori na pichaz chache kutoka kwenye mtandao huu.
Video ya sekunde 16 ya igizo jipya ikimuonyesha mpenzi wa Mbrazil Neymar.
Bruna Marquezine ni mpenzi wa staa wa soka Mbrazil Neymar (22) ambae anaichezea Barcelona ambapo wameanza kuwa mapenzini toka mwaka 2013. Bruna ametokea kwenye igizo jipya la TV nchini Brazil…
Davido leo ametoa video mpya ya dakika 4 na sekunde 11 kwa Aye
Tofauti na video ya Skelewu ambayo watu wengi hawakuipenda na kuichana waziwazi kwenye Youtube, mapenzi kwa hii video mpya yamekua makubwa kwa upande wa fans mpaka Davido mwenyewe amewashukuru fans…
Kuhusu ile kesi ya Lulu ya mauaji ya bila kukusudia.
Mwigizaji Elizabeth Michael 'Lulu' ambae anakabiliwa na kesi ya mauaji bila kukusudia ya mwigizaji Steven Kanumba anatarajiwa kuanza kujibu mashitaka yake kwa mara ya kwanza Februari 17 2014 katika Mahakakama…
Yule Mganga wa AT si kaenda Mahakamani, stori kamili hii
February 6 2014 You heard ilihusu yule jamaa anaesemekana kuwa mganga wa msanii wa AT juu ya pesa anazomdai AT na akasema kuwa kamkimbia, sasa hatimaye AT kapelekewa barua hiyo…