Magazeti ya leo Jumapili February 2 2014
Kila siku hapa millardayo.com huwa naweka magazeti ya siku husika, kuanzia udaku michezo na hardnews nikiamini kwamba wakati mwingine unaweza kuwa mbali na yanakopatikana au yakawa yanachelewa kukufikia asubuhi. Lengo…
Namna Jokate alivyom’sapraiz’ Wema On Stage Arusha.
Unaweza kujikuta ukishindwa kuielewa hii hali lakini inabidi ukubaliane na ukweli halisi wa hiki kilichotokea,Jokate na Wema historia yao ilianzia kwenye shindano la kumtafuta Miss Tanzania 2006 ambapo Mshindi alikua…
Matokeo ya Simba na Jkt Oljoro yapo hapa.
Ile mechi iliyo kwenye Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara iliyokuwa inachezwa kati ya timu ya Simba na Jkt Oljoro kutoka 87.9 Arusha imekamilika leo kwenye uwanja wa Taifa Jijini…
Hiki ndicho alichokisema Marco Chali kuhusu project zake mpya.
Producer kutoka Mj Records Marco Chali ame-amplify kuhusu project anazotegemea kutoa ,miongoni mwa Project ambazo alizoahidi kuzitoa kuanzia February 3 ni project ya Madee ambayo kalishirikisha kundi toka ardhi ya…
Kuwa wa kwanza kusikiliza kionjo cha Wimbo mpya wa Barnaba unaoitwa Jasho la Mnyonge.
Barnaba Classic moja ya wasanii kutoka jumba la vipaji T.h.t. ameipa Exclusive millardayo.com kwa kutoa kionjo cha wimbo wake mpya wenye jina la Jasho la Mnyonge,Audio hii imekamilika na imefanywa…
Kurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo February 1 2014
Kila siku hapa millardayo.com huwa naweka magazeti ya siku husika, kuanzia udaku michezo na hardnews nikiamini kwamba wakati mwingine unaweza kuwa mbali na yanakopatikana au yakawa yanachelewa kukufikia asubuhi. Lengo…
Msikilize Mbwiga leo January 31.
Kawaida ya millardayo.com ni kukuendelea kukuweka karibu na kitu ambacho ulimis pengine kulingana na majukumu uliyonayo,naomba utumie dakika hizi 5 kumsikiliza Mbwiga akielezea birthday yake kesho itakavyokua na michezo kama…
Kuhusu Gari lililoungua moto jioni ya January 31.
Tukio la kuungua kwa gari hili limetokea barabara ya Nyerere jioni ya January 31 ambalo inahusisha hiyo Gari aina ya Coaster ambayo imewaka moto,chanzo cha moto huo bado hakijajulikana,millardayo.com inaendelea…
Hatimaye uwanja wa Azam Complex waruhusiwa kuchezewa mechi za kimataifa
Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF leo tarehe 31 Januari 2014 limeupa kibali cha kuchezea mashindanoya kimataifa yanayoandaliwa na CAF uwanja wa Azam Complex Chamazi na kuufanya uwanja wa kwanzaunaomilikiwa na klabu Afrika Mashariki kuruhusiwa kuandaa (ku-host) mashindano makubwa ya vilabu Kwa mujibu wa barua pepe iliyotumwa leo na CAF kupitia kwa naibu mkurugenzi wa mashindano Bwana Khaled Nassar, Uwanja wa Azam Compex Chamazi umepita vigezo vyote vinavyohitajika na CAF kuchezewa mashindano ya kimataifa hivyo kuanzia tarehe ya leo, uwanja huu unaruhusiwa “kuchezewa mechi za CAF Bwana Khaled ameandika katika taarifa yake ya barua pepe kwenda TFF na Azam FC kuwa CAF ilimtuma mkaguziwake toka nchini Zimbabwe Bwana Wilfried Mukuna kuja kukagua uwanja huu. Bwana Mukuna aliwasilisha ripoti CAF iliyopelekea shirikisho hilo kutoa kibali kwa Azam FC na TFF kuruhusiwa kuutumia uwanja huu kwa mechi zinazoandaliwa na CAF Uongozi wa Azam FC umetoa shukrani kwa mkaguzi wa CAF Bwana Mukuna, Uongozi wa TFF chini ya Rais Jamal Malinzi, na uongozi wa CAF Cairo Misri hasa Bwana Khaled Nasser kwa kuwezesha zoezi hili kufanyika kwa uwazi na uweledi wa hali ya juu uliopelekea uwanja wetu kupata kibali cha kutumika kwenye michezo ya kimataifa. Azam FC sasa imewatangazi wapenzi wake kuwa kuanzia msimu huu mechi zake za CAF zitachezwa Azam Complex Chamazi
Weekend hii ya mwisho wa mwezi unaweza kuangalia movie hizi kama upo Dar na Arusha.
Last Vegas ni moja ya movie mpya kwenye list ya movie zitakazoonyeshwa kuanzia leo 31/1 kwenye theaters tofauti na imewahusisha wakongwe kama Freeman,De niro,Douglas na Kline. Unaweza kwenda kuicheki kama…