Baada ya kutoonekana dimbani kwa miezi kadhaa,sasa Chuji arejea tena uwanjani.
Leo Kiungo wa ulinzi kutoka timu ya Yanga Athuman Idd Athuman maarufu kama 'Chuji amerejeshwa kundini kuungana na wachezaji wenzake baada ya kuwa amesimamishwa na uongozi kutona na kitendo cha…
Msikilize Mbwiga leo January 28
Naomba nikuunganishe moja kwa moja kwa Mbwiga na uzitumie hizi dakika 2 kusikiliza alichokisema juu ya timu kutoka Songea kwa kipindi hicho,sikiliza pia kupitia 88.4 Clouds Fm Morogoro. Bonyeza play…
Umesikia Good News kuhusu tiba ya Saratani?pamoja na vyote vilivyotokea leo sikiliza hapa.
Unaweza kuwa hukusikia kilichozungumzwa na serikali juu ya ajira za kazi,muendelezo wa ile habari ya Madereva malori kule Nzega,Tabora,kushuka kwa umeme kwa wakazi wa Mtwara na kuhusu tiba ya Saratani…
hivi ndivyo wanaume wawili walivyolea mtoto mmoja bila wao kujijua,sikiliza Hekaheka ya leo hapa.
Uswahilini kuna namna nyingi sana ya jinsi maisha ya huko yanvyoendeshwa,huu ni mfano wa maisha yatokeayo kila siku kwenye makazi yetu tunayoishi,hawa jamaa wamejikuta wanalea mtoto mmoja huku kila mmoja…
Namna Agness Masogange alivyomchanganya ‘baba mwenye nyumba’,sikiliza kupitia You heard ya leo
Agness Masogange ameingia kwenye headline tena,hii imetokea kwa baba mwenye nyumba,kwenye nyumba mpya aliyohamia baada ya kuharibika kwa bomba la maji hiki ndicho kilichotokea sikiliza kupitia 104.4 Clouds Fm Dodoma.…
Taarifa ya kifo na mazishi ya mchekeshaji mzee Dude.
Mzee Dude msanii wa tasnia ya maigizo toka kundi la Futuhi linalorusha kazi zake kupitia Star TV amefariki dunia jana saa 11 jioni akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Bugando ya…
Kitu kizuri kutoka NMB kwenda wakazi wa Sumbawanga.
Watu wangu wa Sumbawanga hii habari nzuri iwafikie kutoka NMB Bank kuhusu tawi jipya lilipo makutano ya Mpanda-Msakila. Tawi hili limehamishwa kutoka jengo la Bima na hivi sasa lipo makutano…
Unatamani kujua mapato yaliyopatikana kwa Mechi zilizowahusisha Simba na Yanga?haya hapa
Unaambiwa Mechi za Ligi Kuu ya Vodacom 'VPL' zilizohusisha timu za Simba na Yanga na kuchezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam wikiendi iliyopita zimeingiza jumla ya pesa za Kitanzania…
Taarifa kuhusu Mazishi ya Mcd.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa kiongozi wa Twanga Luiza Mbutu mazishi ya MCD ilikuwa yafanyike leo saa 10 jioni, lakini familia imekubali kusogeza mbele ili wafanyakazi wenzake pamoja na…
Magazeti ya leo January 28 2014 na stori za Udaku, Michezo na Hardnews
Kila siku hapa millardayo.com huwa naweka magazeti ya siku husika, kuanzia udaku michezo na hardnews nikiamini kwamba wakati mwingine unaweza kuwa mbali na yanakopatikana au yakawa yanachelewa kukufikia asubuhi. Lengo…