Hii ndiyo picha aliyopost Jackie Cliff kwenye instagram leo January 15
Baada ya exclusive interview na AyoTV ambapo Juma Jux alisema kwamba Jackie Cliff yupo salama lakini sehemu alipo hata yeye haijui. Jackie Cliff amepost picha hiyo hapo juu kwenye account…
Msikilize Mbwiga wa Mbwiguke Jan 14
Hii ni nafasi ya kusikiliza udambwi dambwi wa Mbwiga wa Mbwiguke akizungumzia mechi hizo za kipindi cha nyuma ni dakika moja zaidi ya moja ni za kusikiliza hiki alichokisema.
Video ya Ciara akithibitisha kuwa anatarajia kupata mtoto na rapper Future.
Baada ya uhusiano wao hadi kuvalishana pete ya uchumba na rapper Future,hatimaye Ciara anategemea kuwa mama. Ciara akiwa kwenye show ya The View aliulizwa kwamba kulikuwa na tetesi kuhusu yeye kuwa…
Kisikilize alichokifanya Diamond kwenye hii beat ya Chegge
Zitumie hizi dakika kadhaa kusikiliza alichokifanya Diamond kwenye hii beat ya Chegge Chigunda ya Uswazi Take away,uongozi wake umetubariki kuwapa watanzania hii kama Exclusive kwenu kuisikiliza hii nyimbo afu tupe …
Huu ndio ujio mpya wa Jennifer Lopez kwenye muziki.
Kama wewe ni shabiki wa Jennifer Lopez basi utakua umezimiss sana kazi zake kwenye muziki. Same girl ndio wimbo mpya kutoka kwa JLo ambao umeandikwa na Chris Brown. J Lopez…
Watu zaidi ya 200 wazama kwenye mto Nile wakikimbia vita
Zaidi ya watu 200 raia wa Sudan Kusini wamezama katika ajali ya boti kwenye mto Nile wakikimbia vita vinavyoendelea katika mji wa Malakal. Taarifa hii ni kwa mujibu wa msemaji…
Unayataka makubwa ya magazeti ya leo Jan 14 2014? Udaku, michezo na hardnews? yako hapa
Kila siku hapa millardayo.com huwa naweka magazeti ya siku husika, kuanzia udaku michezo na hardnews nikiamini kwamba wakati mwingine unaweza kuwa mbali na yanakopatikana au yakawa yanachelewa kukufikia asubuhi. Lengo…
Exclusive! Dakika 8 za Boyfriend wa Jackie Cliff, kakisema hapa chote alichoongea na Jackie juzi.
Ndani ya wiki moja iliyopita Balozi wa Tanzania nchini China aliongea Exclusive na millardayo.com na kuthibitisha kwamba hajawahi kupokea taarifa kutoka gereza lolote la China juu ya kukamatwa na dawa…
Kajala ataolewa tena? kuhusu huyu mume wa mtu je? alichofata China? na dawa za kulevya?
Hii ni interview ya kwanza ya mwigizaji Kajala, yani ndio kwa mara ya kwanza kahojiwa kwenye chombo cha habari (Exclusive on millardayo.com) baada ya kumiliki headlines kwa ishu zake tatu…
Hii ni kwa wale wa Mr. Flavour wa Nigeria, mmeiona hii video mpya ambayo kamtumia Dillish wa BBA?
Mr Flavour ni miongoni mwa Wasanii wachache wa Nigeria ambao wamewahi kualikwa na kuja kufanya show nchini Tanzania, time hii ametuletea video yake mpya ambayo ndani yake anaonekana Dillish ambae…