Pichaz za Sherehe ya maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Jana ilikua ni kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar,sherehe hizi zilihudhuriwa na viongozi mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi,Hizi ni baadhi ya picha…
Picha za Masquerade birthday party ya mama yake Beyonce aliyoandaliwa na wanae.
Beyonce na mdogo wake Solange wametumia kiasi kisichopungua dola 100,000 kumuandalia luxury Masquerade birthday party mama yao alivyofikisha miaka 60. List ya mastaa waliofika kwenye party hiyo ni Jay Z,The…
Usikilize hapa wimbo mpya wa Mwasiti ‘serebuka’
Baada ya kimya cha muda mrefu kupita sasa hii ndo ngoma mpya ya Mwasiti aliyoitoa leo inaitwa Serebuka,pata nafasi ya kuusikiliza wimbo huu uliofanywa studio za Sorround Sound Studio na…
Ulimiss kusikiliza Magazeti ya leo yakisomwa Redioni?haya hapa
Hizi ni dakika 21 za kusikiliza kilichojiri kwenye kurasa mbalimbali za Magazeti ya leo januari 13,ambayo yanasomwa na PJ kutoka 87.9 Clouds Fm Moshi, Bonyeza play kusikiliza.
Post ya kwanza kutoka kwa msanii Jux inayomhusu Jackie Cliff
Ni siku kama tano zimepita toka ubalozi wa Tanzania nchini China usema hauna taarifa zozote za kukamatwa kwa Mtanzania Jackie Cliff huko China na kwamba Watanzania wa mwisho kukamatwa ilikua…
Namna ambavyo Snura alivyosherehekea siku yake ya kuzaliwa na watoto Yatima leo.
Ni mara chache sana kutokea kufanyika kwa hili alilofanya Snura kwa kutamani kwa karibu na moja kati ya Mashabiki wa muziki wake ambao ni watoto hasa kwenye siku muhimu kwake…
Hawa ndo wachezaji pekee aliokua akiwahofia ubingwa Yaya Toure
Mara nyingi hutokea kwenye mashindano yoyote kuna mtu au watu utakua unawahofia pengine kulingana na viwango sawa vya uchezaji au wao kukuzidi maarifa kidogo,hiko ndicho kilichotokea kwa Nyota toka Manchester…
Leo ni kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar hii leo inaadhimisha kumbukumbu ya miaka hamsini ya mapinduzi ambayo kwenye historia yanaonyesha yalimaliza utawala wa Kisultani visiwani humo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa…
Kama una harusi hivi karibuni,Hii inakuhusu toka kwa Linex
Wasanii wa Tanzania kwa sasa wamekua na mbinu nyingi za kujiongezea kipato mbali na kipato wakipatacho kwa sasa ambacho ni showz na kuuza miito ya simu lakini kwa sasa wengi…
Rihanna anapokutana na watu wake
Katika wale mashabiki wenye mapenzi na hisia basi na huyu yumo, ni mtoto ambae ni shabiki mkubwa wa RiRi na walikutana wakati mwimbaji huyu akitoka kucheki game ya The Heat…