Ebwana huyu ndio mwanasiasa alieshtakiwa kwa kumfananisha Rais wa nchi na kiazi
Ni mwanasiasa wa Zambia anaitwa Frank Bwalya ambae amemiliki headlines kwa kushtakiwa kwa kosa la kumfananisha rais wa nchi hiyo na kiazi ambapo kutokana na mashtaka aliyofunguliwa, akikutwa na hatia…
Unaijua gharama ya video ya “My Number One Remix”?
Naseeb Abdul “Diamond” ameweka kuhusu gharama za video yake ya Number One Remix aliyofanya na director Clarence Peters wa Nigieria. Diamond anasema gharama hii hazijumuishi usafiri wala accommodation walivyokua huko…
Picha za kwanza zinazomuonyesha msanii Mez B jinsi alivyochomwa visu na mtu asiejulikana.
Taarifa za msanii Mez B kushambuliwa na mtu asiemfahamu wala kuwa na ugomvi nae usiku wa Jumamosi akiwa maeneo ya Sinza ni miongoni mwa stori zilizosambaa sana toka jana. Mez…
Making the video ya rapper @Wakazi Kariakoo na town Dsm.
HEFEMI Studios ambayo ni kampuni ya Mtanzania anaeishi Marekani ndio inahusika kuifanya hii video mpya ya rapper Wakazi ambae mwaka 2013 alipata nafasi ya kuonekana kwenye stage nyingine kubwa ya…
Tumia dakika zako 4 kutazama alichofanya Jokate kwenye hii movie mpya.
Najua baada ya taarifa kutoka kila shabiki au anaemfatilia Jokate alipata hamu ya kutazama hii filamu mpya ambayo JB amemshirikisha Jokate, ni time yako sasa hivi kuitazama Trailer ya movie…
Breaking: Picha za Mwenyekiti wa Chadema Temeke aliepigwa na kutupwa Dar usiku kuamkia leo
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Temeke Joseph Yona amepigwa na watu wasiojulikana na kisha kutupwa kwenye eneo la Ununio kwenye Magorofa ya Wasomali Kawe Dar…
Kuhusu boti iliyozama Nungwi, hizi ni taarifa za idadi ya ambao hawajaonekana na waliofariki.
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Bahari Zanzibar Abdi Maalim amesema licha ya jitihada za kuendelea kuwatafuta watu wanaohofiwa kuzama baharini baada ya boti ya Kilimanjaro II kupata dhoruba…
Alichokisema Diamond kuhusu yeye na Wema Sepetu na movie yao 2014.
Diamond alidondoka kwenye Exclusive interview ya XXL ya Clouds FM na kuyajibu maswali ya Raymond Mshana ambae ndio alikua anaifanya XXL kwa siku hii ya January 6 2014. Kwenye show…
Msikilize Mbwiga wa Mbwiguke leo Jan 6
Huu ni mtekenyo wa Mbwiga wa Mbwiguke ambao unakuwepo kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa kupitia 88.4 Clouds Fm Mtwara,Ni stori ambazo zinahusu michezo na wachezaji ikiwa ni pamoja na vituko vyao…