Thaban Kamusuko akabidhiwa kitita chake
Kiungo wa Yanga, Thaban Kamusoko aliibuka Mchezaji bora wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara kwa mwezi Desemba 2015. Mzimbabwe huyo aliibuka baada ya kumshinda mchezaji mwenzake wa Yanga, mshambuliaji Amiss Tambwe, raia wa…
Kama ilikupita droo ya mechi za robo fainali za Ligi ya Mabingwa Ulaya na Europa Ligi
Baada ya kumalizika kwa mechi za hatua ya 16 ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, mchana wa March 18 shirikisho la soka barani Ulaya zilichezesha droo za kupanga mechi…
Simba aliyeingia mtaani na kujeruhi Mtu akamatwa Kenya
Asubuhi ya leo March 18 2016 iliripotiwa taarifa ya Simba mmoja aliyetoroka kutoka Hifadhi ya Taifa ya Nairobi nchini Kenya na alionekana mtaani na kumjeruhi mtu mmoja. Huduma ya Wanyamapori ya…
Jeshi la Polisi Dar lilivyozikusanya Mil 577 za wakosaji Barabarani
Polisi Kanda maalum Dar es salaam kupitia kitengo cha usalama barabarani wametoa taarifa ya makosa ya barabarani kuanzia March 07 2016 hadi March 18 2016 kuwa wamefanikiwa kukamata magari mbalimbali…
Paul Makonda katangaza donge la Mil moja , majambazi wahusishwa ndani..
Leo March 18 2016 Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amekutana na Kamanda wa Polisi kanda maalum Simon Sirro pamoja na Askari Polisi kwa lengo la kujionea mwenendo wa…
Moyes aliharibu zaidi ya rekodi 8 za Man United, Van Gaal kaharibu hii iliyodumu kwa miaka 60
Wazungu mara nyingi ni watu ambao wanaheshimu rekodi katika maisha yao ya kila siku, toka aondoke Alex Ferguson Man United kuna makocha wawili sasa wameingia kuifundisha Man United. David Moyes ndio…
Wizara ya Mambo ya Ndani imetangaza maamuzi haya kwa watumishi wake 14
Wizara mbalimbali za Serikali hii ya awamu ya tano zinazidi kuingia kwenye headline, ikiwa ni siku kadhaa zimepita baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Charles Kitwanga kuagiza…
Pichaz 17: kutoka kwenye usiku wa Birthday ya Linah, Dar.
March 17 ni tarehe waliozaliwa watu wengi dunia lakini kutoka kiwanda cha Bongoflevani mrembo anayemiliki hitsongs nyingi ikiwepo 'Malkia wa Nguvu', Linah amesherekea siku yake ya kuzaliwa march 17 na…
Simba mwingine aingia mtaani na kujeruhi Kenya
Wiki kadhaa zimepita tangu Simba 6 walioripotiwa kutoroka kwenye hifadhi ya wanyamapori ya Nairobi Park na kuonekana wakielekea mji wa Langata. Leo March 18 2016 inaripotiwa tena Simba mmoja ametoroka…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo March 18 2016 kwenye, Udaku, hardnews na michezo
March 17 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu…