Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo March 10 2016 kwenye Udaku, hardnews na michezo
March 9 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu…
PICHA 7: Sebule 3 nzuri simple ambazo unaweza kuhamishia ubunifu wake kwako
Wataalamu wa mambo wanasema kuna idadi kubwa ya watu wanao uwezo wa kifedha lakini nyumba zao zimekosa mvuto sababu hawakupata mwongozo mzuri wakati wa ujenzi au mipango ya mwanzo ya upangaji…
Kiswahili fasaha cha maneno yafuatayo: Kitchen Party, Smartphone, Expire, Live na Send-off party
Inawezekana Kiswahili ikawa ni lugha yako ya kwanza lakini bado kuna vitu vingi tu huvijui au huwa hauvitamki kwa Kiswahili ndio maana leo nimeamua kukutanisha na maana ya maneno machache…
Makofi kwa PSG tafadhali…. Full Time yao vs Chelsea imewapa ushindi
Michezo ya marudiano hatua ya 16 bira ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imeendelea tena usiku wa March 9, kwa michezo miwili kupigwa barani Ulaya. Klabu ya Chelsea ilikuwa mwenyeji wa…
VIDEO: Show ya Navy kenzo na Jux walivyokusanya watu wa Dodoma
Kamatia Chini Lights Up Tour ya kundi la muziki wa bongofleva Navy Kenzo iliangukia Dodoma weekend iliyopita ambapo Aika na Nahreel pia walipata time ya kumleta Jux kwenye stage kwa muda mfupi...…
VIDEO: Waziri wa Elimu leo kaenda mwenyewe baada ya kuambiwa kinachoendelea chuo cha Mt Joseph Dar
Chuo Kikuu cha Mt. Joseph kimechukua vichwa vya habari hivi karibuni baada ya kutokea kwa migomo kwenye vyuo vishiriki vya chuo hicho na baadhi kufutiwa vibali vilivyoanzisha vyuo vikuu viwili vishiriki vya…
VIDEO: Rais Magufuli alipomtembelea Maalim Seif hotelini kumjulia hali
Amekua akisema siku zote kwamba yeye ni Rais wa Watanzania bila kujali vyama wala dini ndio maana March 9 2016 Dk John Joseph Magufuli alimtembelea na kumjulia hali makamu wa kwanza…
Tarajia kuuona uwanja wa FC Barcelona katika muonekano huu 2021(+Pichaz)
Klabu ya FC Barcelona ya Hispania ambayo imezoeleka kutumia uwanja wake wa Nou Camp, March 9 imetoa picha za muonekano wa uwanja wao utakavyokuwa kwa miaka minne ijayo. FC Barcelona…
Naj kahojiwa na Soudy Brown, nikweli anatoka na Baraka da Prince..? U Heard (+Audio)
March 9 2016 kwenye U Heard ya Soudy Brown amefanya mahojiano na Naj baada ya kusikia taarifa za kutoka kimapenzi na msanii mwenzake kutoka kiwanda cha bongofleva Baraka da Prince,…
Nikweli Kimbunga Mchawi ana beef na Nay wa Mitego? 255 (+Audio)
Mtu wangu wa nguvu kama wewe ni mpenzi wa burudani millardayo.com imekurekodia 255 ya Clouds FM ya March 9 zile story zote ambazo zimepata airtime utapata kuzisikiliza hapa Kimbunga mchawi…