Cristiano Ronaldo ataondoka Real Madrid? Zidane karudia maneno haya …
Cristiano Ronaldo amerudi tena kwenye headlines baada ya weekend kufunga goli nne peke yake katika ushindi wa goli 7-1 dhidi ya klabu ya Celta Vigo, goli hizo hizo alizofunga Ronaldo…
Kama ulikosa Kamatia Chini Lights Up Tour ya Dodoma kuna pichaz 20 hapa…
Mtu wangu wa nguvu kama mpenzi wa burudani na kuparty “Kamatia Chini Lights Up Tour” ya Navy Kenzo iliendelea usiku wa March 7, time hii ilikuwa pande za Maisha club…
VIDEO: Milioni 365 za bodaboda zilivyokusanywa na Polisi Dar
March 7 2016, Jeshi la Polisi Dar es salaam lilitoa ripoti ya makusanyo yote yaliyopatikana baad ya zoezi la ukamataji wa makosa ya usalama barabarani kwa kipindi cha kuanzia mweziFebruary…
Habari 8 kubwa kwenye TV za Tanzania March 7 2016…
Mtu wangu wa nguvu kama ulikosa time yakuangalia taarifa ya Habari March 7 2016 millardayo.com inakusogezea Habari zote kubwa zilizoguswa kwenye Tv za Tanzania. Habari kutoka Channel 10...Katibu Mkuu Kiongozi…
VIDEO: Mtazame huyu anaeigilizia sauti ya J.Kikwete na Dr. Magufuli uniambie kampatia nani
Kuna watu wanaweza kuigiza sauti ya mtu alafu ukiwasikiliza unacheka na kubaki mdomo wazi... huyu jamaa ni miongoni mwa hao Mamaster, mtazame anaitwa Shaphii Omary kwenye hii video alafu uniachie…
Kama ulizikosa top 10 za stori kubwa za Amplifaya leo March 7 2016, zote nimekusogezea hapa katika Tweets
Kama ulikosa time ya kuzisikiliza stori 10 kubwa za siku kwenye Amplifaya ya Clouds fm leo March 7 2016, basi usipate tabu mtu wangu maana nimezikusanya zote na kukusogezea hapa…
Richie Richie kaipeleka tuzo kwa waziri Nnauye (+Video)
Usiku wa March 6 Single Mtambalike maarufu kama Richie Richie, aliwasili na tuzo yake ya Africa Magic Viewer’s Choice Awards 2016 zilizotolewa Lagos Nigeria, na leo March 7 ilikuwa ni wakati wa kuipeleka tuzo…
Kama ilikupita hii ya Shabiki wa soka kumuua mwenzake kisa Messi na Ronaldo ….
Imekuwa kawaida kwa watu kubishana kuhusu wachezaji bora wa Dunia ambao wote wamewahi kushinda tuzo ya mchezaji bora wa Dunia Ballon d'Or kwa zaidi ya mara moja Lionel Messi na Cristiano…
Full Video: Mapokezi ya Richie alivyotua Airport Dar na tuzo kutokea Nigeria
Hii ilikuwa ni Usiku wa March 5 ambapo staa wa Bongo Movie Single Mtambalike maarufu kama Rich Richie alivyotua Airport Dar es salaam baada ya kushinda tuzo za Africa Magic Viewer’s Choice Awards2016 zilizotolewa…
Kama ulikamatwa na Traffic Dar kati ya Feb 28 mpaka March 7, faini yako imejazia hizi milioni
Kikosi cha Usalama Barabarani kanda maalum ya Dar es salaam kimetangaza kukusanya kiasi cha shilingi Milioni 365 kutokana na ukamataji wa makosa ya usalama Barabarani kwa kipindi cha kuanzia February…