Madee karekodia mdundo wa producer wa ‘Aye’ ya Davido… details nyingine ziko hapa
Kutana na msanii wa bongofleva Madee, ametangaza kwamba sasa hivi hataki tena kuimba nyimbo za shida tena ni midundo ya kuparty tu, single yake mpya inaitwa 'migulu pande' na inatarajiwa…
VIDEO: Stori zilizo-trend wiki hii kwenye Instagram za mastaa wa Tanzania na nje.
AyoTV inakusogeza karibu zaidi na mitandao ya kijamii ya watu mbalimbali maarufu kuanzia Tanzania na wengine wa nje ambapo Ijumaa ya leo unakutanishwa na hizi stori za wiki ambazo hutakiwi…
Chege anawazungumziaje mastaa wa bongo wanaotengeneza kiki? kaongea maneno 42
Chege Chigunda ni msanii mwingine wa bongofleva kutoka TMK Wanaume family na sasa anayotajwa sana kwenye Radio na TV kutokana na single yake ya 'sweety sweety' aliyomshirikisha Run Town wa…
Stori kubwa kwenye uchambuzi wa Magazeti March 4 2016…#PowerBreakfast (+Audio)
Uchambuzi wa magazeti March 4 2016 kwenye Power Breakfast ya Clouds FM habari kubwa leo ni pamoja na hizi Dar yapata hasara ya bilioni 4/ kwa siku, msongamano katika barabara…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo March 4 2016 kwenye Udaku, hardnews na michezo
March 4 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu…
Belle 9 kaelezea kilichotokea mpaka Instagram yake ikaonekana kumtukana Diamond Platnumz
March 3 2016 kwenye mitandao ya kijamii moja ya vilivyotambaa sana ilikuwa ni hii ya kumuhusu staa wa bongofleva Belle 9 kuhusu moja ya post iliyokuwa imeandikwa katika account yake ya instagram…
Wale mnaopenda picha za selfie… isitokee ukajipiga picha na bastola kama hawa
Inawezekana tukawa tunafurahia vitu vingi sana katika maisha yetu ikiwemo ukuwaji wa teknolojia na hizi simu zinazorahisisha mambo ila kwa upande mwingine maisha yetu yako hatarini kama hatutokuwa makini, vifo…
Miji 10 ya Afrika yenye Matajiri wenye utajiri wa zaidi ya BILIONI 60… Afrika Mashariki imetajwa miwili tu !
Hii ni dunia ambayo kila siku kuna watu wanafanya utafiti wa vitu duniani... sasa leo March 4 2016 nakuletea matokeo ya utafiti uliofanywa kwenye bara la Afrika na kuonyesha kwamba…
Arusha kupata njia nne kwa mara ya kwanza
Rais wa awamu ya tano wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Joseph Magufuli amezungumza na wananchi wa Arusha wakati wa uwekwaji wa jiwe la msingi kwa ajili…
BREAKING: Waziri Jenister Mhagama kafanya maamuzi NSSF usiku huu
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Jenister Mhagama ametengua uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF)…