Kingine kilichonifikia leo kuhusu mtu mwenye rekodi ya kuwa mzee zaidi duniani kutoka Japan.. (+Video)
Mwaka 2015 Yasutaro Koide aliingia kwenye kitabu cha kumbukumbu kubwa za duniani cha Guinness World Records baada ya kuwa mwanaume mwenye umri mkubwa zaidi duniani. Mzee huyo alizaliwa March 13, 1903…
BEEF: Birdman na Lil Wayne wayamaliza uso kwa uso? Majibu yote ninayo kwenye hii video!
Headlines za beef kati ya rapper Lil Wayne na Boss wa Cash Money Records Birdman ni miongoni mwa stori zilizokaa kwenye kurasa za burudani kwa kipindi kirefu, lakini baada ya…
Top 10 ya stori kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 19 2016.
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Stori za Magazeti ya Tanzania January 19 zilivyosomwa Redioni CloudsFM (+Audio)
Mambo sita ya kulitikisa Bunge yatajwa, Katiba, elimu na hotuba ya JPM nayo yapo. Bomoabomoa yatikisa tena Kinondoni Dar, Jeshi la Polisi latumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi waliofunga barabara…
REPEAT: Dar es salaam inasubiria daraja la Kigamboni, tazama lilivyojengwa juu ya bahari
Dar es salaam inasubiria kwa hamu daraja jipya la Kigamboni linalojengwa juu ya bahari ambalo ilitangazwa kwamba linatakiwa kuanza kufanya kazi mwanzoni mwa mwaka 2016 kurahisishia Wananchi ambao sasa hivi…
Meneja Babu Tale imebidi ayaseme haya kuhusu kauli ya Diamond kupitisha video MTV BASE
Hii ni stori ambayo ilianza kuandikwa wiki iliyopita baada ya Diamond kufanya interview na TBC Fm kwenye kipindi cha Papaso ambapo miongoni mwa maswali aliyoulizwa ni namna ipi anawasaidia wasanii…
VIDEO MPYA: Wanaume wenye Wake Wajawazito kwenye hii mpya ya Tunda Man ‘mama kijacho’
Mama Kijacho ni wimbo ambao Tunda Man kaamua kuelezea vitu ambavyo wanakutana navyo Wanaume pale ambapo wapenzi wao au wake zao wanapokua wajawazito, kaelezea visa ambavyo Wajawazito huvifanya. https://www.youtube.com/watch?v=JicCv5twV6M&feature=youtu.be Unataka…
Exclusive: Ommy Dimpoz alivyorushwa kichurachura na Wanajeshi pale Lugalo
Ommy Dimpoz ni staa mmiliki wa single ya 'achia body' ambayo inachezwa kwenye TV na Radio za Tanzania sasa hivi, wiki iliyopita Ommy alijikuta mikononi mwa Wanajeshi nje ya makao…
EXCLUSIVE: Viilivyomtokea Msami akiwa na Irene Uwoya
Msami ni dancer na msanii wa bongofleva pia ambaye ana single mpya inaitwa 'Mabawa' na alikutana na Millard Ayo na kuyajibu yote makubwa, ukitazama hii video hapa chini utapata kila…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo January 19 2016 kwenye Udaku, Hardnews na michezo
January 19 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti 16 ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu…