China wameamua mabadiliko kuanzia January 2016 kuhusu idadi ya watoto kwa wanandoa..
Tunajua na imekuwa ikifahamika kwamba kwa kipindi kirefu China wamekuwa na utaratibu wa kila wanandoa au wapenzi kuruhusiwa kuwa na mtoto mmoja tu... japo China wana Sheria hiyo bado ni nchi…
Kibao kilivyomgeukia Soudy Brown kwenye U Heard, leo ni yeye na Ruby.. (+Audio)
Musa Hussein leo kaikamata U Heard, na kibao kimegeuka pia mtu wangu !! Kama ulivyozoea Soudy Brown anavyowabana wengine kuhusu stori za chinichini leo kageuziwa kibao, ishu ni yeye na…
Mr Blue kwenye headlines za kuanzisha idea ya jina la Simba analolitumia Diamond Platnumz….
Itakuwa sio mara yako ya kwanza kuona jina la Simba likitumika katika post za Diamond Platnumz hasa kupitia mtandao wa instagram, sasa leo Dec 28 Mr Blue kupitia ukurasa wake…
Shilole mpaka Nigeria? kayazungumza haya kuhusu collabo aliyoifanya na msanii wa Nigeria…
Headlines za Dec 28 zinakwenda kwa Shilole ambaye wiki kadhaa zilizopita alikuwa nchini Nigeria kwaajili ya show yake akiwa na Feza Kessy & Lina Sanga, sasa msanii huyo baada ya…
Fabolous kaja na video ya wimbo ‘She wildin’, kama ilikupita unaweza kuicheki hapa.
Rapper kutoka Marekani, Fabolous time hii ametusogezea hii video mpya ya single yake aliyomshirikisha Chris Brown iiwayo She Wildin, mtu wangu kama hukubahatika kukutana nayo basi karibu uitazame hapa chini mtu wangu.…
Baada ya kumsimamisha kwa muda usiojulikana, Dec 28 Yanga yatangaza maamuzi magumu kwa Niyonzima …
Baada ya stori za muda mrefu kuhusu kiungo wa kimataifa wa Rwanda anayekipiga katika klabu ya Yanga Haruna Niyonzima, uongozi wa klabu hiyo December 28 umetangaza maamuzi mapya baada ya…
Ishu ya DNA ya baba na mtoto ilivyoleta Hekaheka Dar… (+Audio)
Kama umekuwa mfatiliaji wa stori za Magazetini wiki iliyopita kulikuwa na stori kubwa ambayo ilitawala sana kuhusu ishu ya ripoti za vipimo vya DNA kuwa kati ya walioenda kupima DNA imeonesha…
Sentensi za Wema Sepetu kwa mashabiki baada ya kuimba wimbo wa Diamond Platnumz…..#Instagram
Dec 27 mashabiki wa Diamond Platnumz walipost video ya msanii wa Bongo Movies, Wema Sepetu katika mtandao wa instagam ambayo ikionesha akiimba wimbo wa Diamond uitwao 'Utanipenda'. Baada ya kusambaa…
Mawaziri sita wa Rais Magufuli walivyokula viapo Ikulu Dec 28…..(+Audio & Pichaz)
Dec 28 2015 Baraza la Mawaziri la Serikali ya awamu ya tano limekamilika baada ya Mawaziri watano na Naibu Waziri mmoja kula viapo, Shughuli imefanyika Ikulu Dar es salaam ikiongozwa…
Video ya mzee aliyesafiri kwa miezi saba pekeyake baharini kutoka Marekani..
Kwenye vitu ama stori ambazo zimeonekana kukamata vichwa vya habari vya kimataifa kwa saa kadhaa mfululizo pamoja na mitandao mikubwa, iko pia stori ya mzee mwenye umri wa miaka 53,…