Dakika nne za kushuhudia mwanzo mwisho shangwe za Angola alivyotua Nicki Minaj..(+Video)
Rapper wa kike mrembo kabisa Nicki Minaj anakuwa mmoja ya mastaa wa Marekani na mastaa wakubwa Duniani waliogonga vichwa vya habari kwa kufanya show za nguvu kwenye nchi za Africa.…
Saa chache zimebaki kusherehekea christmas lakini kwingine imepigwa marufuku!!
Najua wakristo wengi duniani wanahesabu saa chache kuifikia December 25, siku ambayo inasherehekewa sikukuu ya Christmas kila mwaka... kama na wewe umejiandaa vizuri na sherehe hiyo basi nikutakie heri mtu…
Nyumbani kwa Chris Brown kuna nini?!.. Nyingine ya mwanamke kuvamia nyumba yake imenifikia!
Miezi kadhaa iliyopita, Chris Brown aliziandika headlines baada ya taarifa kusambaa kuwa kuna mwanamke alivamia nyumba yake na kujikaribisha mpka ndani pamoja na kuchora kuta za nyumba za staa huyo…
Kendrick Lamar ana ujumbe huu kwako; ‘Hard Work’ – (Video)!
Najua nina watu wangu ambao ni mashabiki wakubwa wa muziki wa Kendrick Lamar, kama wewe ni mmoja wapo basi ipokee hii mpya kutoka kwake... time hii Kendrick anaisogeza kwetu video…
Iyanya anafunga mwaka kwa kukutakia kheri ya Christmas na hii video – ‘Come All Ye Faithful’!
Ikiwa zimebaki saa chache kusherekea sikukuu ya Christmas kwa mwaka huu wa 2015, staa wa muziki kutoka Nigeria, Iyanya ameungana na NdaniTV ya Nigeria kwa ajili ya kutoa live performance…
TBT:Picha 7 za Joh Makini, Quick Rocka, Vanessa Mdee, Roma, Shilole, Joti na Flaviana Matata…enzi hizo
Ni TBT!! Throwing back thursday ambapo huwa tunaitumia hii siku kushare zile picha zetu za zamani ambapo kwenye millardayo.com kila wiki tutakua tunakuletea picha mbalimbali za mastaa wakiwa kwenye pozi…
Magazeti ya Tanzania December 24 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo December 24 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na…
Achana na headlines za Steve Harvey za Miss Universe, kutana na list ya mastaa kumi wa soka waliowahi kudata kwa mamiss …
Najua headlines za Mashindano ya Miss Universe zimemalizika wiki hii, licha ya kuwa MC wa sherehe hiyo Steve Harvey kumtangaza kimamkosa Miss Colombia Ariadna Gutierrez Arevalo kama mshindi ila baadae alisahisha kosa hilo, mtu…
Video: Kama hujakata tiketi ya basi Ubungo siku 3 kabla, ni noma…!
Tukiwa tunaelekea katika msimu wa sikukuu za Christmas na Mwaka mpya, najua kuna watu wengi hupendelea kutumia kipindi kama hiki kusafiri kwaajili ya kuwatembelea ndugu na jamaa. Sasa nina hili muhimu…
Baada ya Danny Mrwanda kusajiliwa na Maji Maji FC na kutowasili, uongozi wa Maji Maji umeamua hivi (+Audio)
Headlines za soka la bongo mtu wangu wa nguvu zimenifikia, safari hii sio kuhusu Simba na Yanga bali ni kuhusu staa wa soka aliyewahi kuvitumikia vilabu hivyo kwa nyakati mbili…