Mtu wa nguvu na watu wangu wa chuo Jana Dec 19 #TIGOuniversityVIP
Tigo imekua ikitoa nafasi za watu wa nguvu kwenye vyuo vya UDSM, IFM, CBE- DAR, Utumishi Mtwara na Mzumbe Morogoro kuenjoy weekend zao na marafiki baada ya kushinda kwenye droo…
Magazeti ya Tanzania December 20 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo December 20 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na instagram…
Ommy Dimpoz alivyotukutanisha gorofa ya 21 katikati ya Dar es salaam
Mwimbaji wa bongofleva Ommy Dimpoz aliwakutanisha Watanzania December 18 2015 kwenye gorofa ya 21 katikati ya jiji la Dar es salaam kuwaonyesha video yake mpya inaitwa 'achia body' , kutazama…
Tumealikwa kuitazama video mpya ya ‘Nagharamia’ ya Alikiba na Christian Bella hapa !
Ni wimbo wa pamoja wa Alikiba na Christian Bella na video ilifanywa Kenya na director ni Enos... itazame hapa chini alafu tuachie comment yako umeionaje na itawafikia. https://www.youtube.com/watch?v=RlCNsPN91s0
Jingine jipya la Waziri mkuu Majaliwa kwenye mabasi yaendayo Haraka Dar es salaam
December 19 2015 Waziri mkuu wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa alifanya ziara nyingine kutazama walikofikia wanaomalizia ujezi wa mradi wa mabasi yaendayo haraka Dar es salaam,…
Duniani wawili wawili? unavyoona hawa wanafanana na Rooney, C. Ronaldo na Messi?
Kwa upande wa Tanzania tumezoea kuona team ya XXL ya Clouds FM kuandaa show ya After School Bash kwa ajili ya wanafunzi kuenjoy baada ya kupata muda wa kupumzika kutoka shule…
Video ya magoli yote manne ya Yanga Vs Stand United Dec 19 2015
December 19 2015 kwenye game ya ligi kuu Tanzania bara Yanga vs Stand United uwanja wa Taifa Dar Es Salaam ambapo hadi dakika 90 zinamalizika Yanga 4 – 0 Stand United, Matokeo ambayo yaliifanya Yanga kutimiza jumla ya point…
Mabibi na Mabwana Ommy Dimpoz katuletea hii video mpya ‘Achia Body’
Ni time ya kuitazama hii video ya single mpya ya Ommy Dimpoz iitwayo Achia Body. Hii ndio video ya single mpya ya Ommy Dimpoz baada ya kushine na video yake…
Enjoy dakika nne za ushindi wa kwanza wa Chelsea bila Mourinho na kipigo cha Man United Old Trafford (+Video)
Jumamosi ya December 19 zimechezwa mechi saba za Ligi Kuu Uingereza, michezo ambayo ilikuwa inatajwa kuwa na mvuto zaidi ni mchezo kati ya Chelsea dhidi ya Sunderland. Huu ulikuwa na mvuto…
Exclusive ya Ben Pol: ufafanuzi wa alichoandika kuhusu Alikiba
Mwimbaji staa wa bongofleva Ben Pol amezimiliki headlines za Tanzania kwa zaidi ya saa 20 zilizopita baada ya tweet aliyoiandika kwa mwimbaji Alikiba ambayo imeonekana kuwa na utata, utata uliopelekea…