Top 5 stori: Mke wa Guardiola kaongea haya kuhusu Manchester, Madrid na Ozil kunani? Tumtarajie Sanchez Man City?
Kama ambavyo dirisha la dogo la usajili la Ligi Kuu soka Tanzania bara linafungwa December 15, yaani siku moja imesalia kabla ya dirisha kufungwa, barani Ulaya bado homa ya usajili…
Real Madrid wakubali kuacha point tatu katika dimba la El Madrigal dhidi ya Villarreal (+Pichaz&Video)
Baada ya December 12 watani zao wa jadi klabu ya FC Barcelona ya Hispania kucheza mchezo wake wa 15 wa Ligi Kuu Hispania dhidi ya klabu ya Deportivo La Coruna katika…
Utani wa Baba Levo kuhusu magari ya mastaa wa bongo yalivyo na matatizo…(+Audio)
Mtani na mchekeshaji Baba Levo kama kawaida yake amekuwa akitupatia fix kuhusiana na maisha ya mastaa wa Bongo, sasa leo kaja na hii ya kuzungumzia magari ya mastaa kama Rich…
Hawa ndio wachezaji wanne wa Chelsea aliyowataja Mourinho kuwa wanacheza chini ya kiwango …
Klabu ya soka ya Chelsea ambayo inashuka dimbani December 14 kucheza mchezo wake wa 16 wa Ligi Kuu Uingereza msimu wa 2015/2016 dhidi ya klabu ya Leicester City. Chelsea inaenda kucheza…
Giroud na Ramsey waipeleka Arsenal kileleni, huku wakiiombea ushindi Chelsea (+Pichaz&Video)
December 13 mechi za Ligi Kuu Uingereza ziliendelea kama kawaida, baada ya December 12 kupigwa michezo kadhaa ya muendelezo wa Ligi. Mchezo wa kwanza kupigwa Jumapili ya December 13 wa…
Kazi ya kwanza kuifanya Naibu Waziri Kigwangala baada ya kuapishwa Dec 12 (+video).
Kwenye zama hizi za Hapa kazi tu za Mheshimiwa Rais John Magufuli,tunashuhudia mambo mengi ambayo mengine tulikua hatuyafikirii kama yanawezekana kufanyika kutoka kwa viongozi wetu,Dec 12 Mawaziri na Manaibu wao…
TP Mazembe yapokea kipigo klabu Bingwa Dunia, Samatta na Ulimwengu kwenye rekodi hii (+Pichaz)
Michuano ya klabu Bingwa Dunia ilianza December 10 2015 katika ardhi ya Japan, hii ni michuano ambayo inatafuta Bingwa wa Dunia kwa ngazi ya vilabu, kwa upande wa bara la…
Mwaka 2015 nimepata pesa nyingi kwenye muziki kuliko miaka mingine – Mr Blue
Jina lake ni Herry Samir lakini kwenye muziki tunamuita Mr Blue. Mwaka 2015 huyu jamaa hawezi kuusahau kutokana na kuwa na vitu muhimu kwenye maisha yake. Kikubwa na cha kwanza…
Jux aelezea jinsi alivyoandikiwa One More Night na Walter Chilambo
Sasa hivi kitu kipya kutoka kwa Jux ni audio na video ya One More Night. Jux akiongea na millardayo.com amesema kwamba ameamua kuimba ngoma ya mapenzi kwa idea ambayo hajawai…
Kumbe Yaya Toure asingekuwa mwanasoka angefanya kazi hii..
Kila mtu ana kipaji chake katika maisha..wapo waliotamani kufanya hivi lakini mwisho wa siku wakajikuta wanafanya kitu kingine kabisa mbacho hawakudhamiria kufanya. Kwa mchezaji wa Manchester City na timu ya…