Yaliyonifikia uchaguzi wa Meya Wilayani Ilemela, Mwanza leo Dec 11, 2015…(Picha $ Audio)
Leo Dec 11, 2015 halmashauri ya Manispaa ya Ilemela Mwanza imeandika historia nyingine kwa kufanikisha uchaguzi wa Meya na Naibu wake ambapo Renatus Mulunga kaibuka mshindi wa Umeya huku naibu…
Mwaka mmoja baada ya kupigwa risasi kwa golikipa wa Afrika Kusini, huyu ni staa mwingine aliyeuwawa kwa risasi …
Mchezaji wa timu ya taifa ya Honduras Arnold Peralta ambaye amewahi kucheza katika vilabu vya Olimpia na Rangers ya Scotland ameuwawa kwa kupigwa risasi wakati akiwa katika Parking za magari jijini La…
Kazi ya zile bilioni 4 za Dec 9 alizoagiza Rais Magufuli imefikia hapa (+video)
Kwenye siku ya Uhuru wa Tanzania kutimiza miaka 54 December 9 2015 hakukuwa na shamrasha zozote wala gwaride kama tulivyozoea kuona kwa miaka iliyopita, imekua hivi baada ya agizo la…
Headlines za mshindi wa Bongo Star Search kushoot video ya kwanza Afrika Kusini….
Headlines za Bongo Fleva leo Dec 11 zinakwenda kwa mshindi wa shindano la Bongo Star Search 2015, Kayumba ambaye kwasasa amekwenda nchini Afrika Kusini kuandaa video ya single mpya lakini…
Mabibi na mabwana Diamond Platnumz kaileta hii video mpya, ndani yumo Wolper, FA, Mama Diamond, Zari na wengine
Diamond Platnumz jioni ya December 11 aliachia video yake mpya ya Utanipenda? bonyeza play kuitazama hapa chini kisha tuachie comment yako umeionaje mtu wa nguvu https://youtu.be/q9l2ItDLsUk Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa…
Waziri Mkuu alivyobebwa juujuu kutolewa nje ya Bunge la Ukraine.. (+Video)
Bunge la Jamuhuri ya Muungano Tanzania litaanza muda sio mrefu baada ya Uchaguzi mkuu wa Oktoba 25 2015 kukamilika... kuna mambo ya kujibizana kwa hoja, hiyo ni kawaida... lakini kuna…
Siku 2 baada ya Rais Magufuli kuwaongoza Watanzania kufanya usafi #Dec9, hizi ni picha 20 muonekano wa Dar Es Salaam
Headlines za uamuzi wa Rais wa awamu ya tano Dk John Pombe Magufuli kutangaza kuwa maadhimisho ya siku ya Uhuru kuadhimishwa kitofauti zilichukua sana nafasi katika vyombo vya habari, Siku ya…
Wizkid anaisogeza ‘Final (Baba Nla)’ kwenye video na angependa iguse playlist yako – (Video)!
Staa wa muziki kutoka Nigeria, Wizkid maarufu kama Star Boy Wizikid anafunga mwaka na mdundo mpya kwenye headlines... Wizkid anaisogeza kwetu video ya latest single yake 'Final (Baba Nla)'. Mtayarishaji…
Ugonjwa wa homa ya mafua ya Nguruwe ulivyoibuka Mwanza…Taarifa ya TAMISEMI ninayo hapa
Baada ya kuripotiwa ugonjwa wa Kipindupindu kutokea katika maeneo mbalimbali kanda ya Ziwa headlines zimerudi tena. Uchunguzi uliofanywa na Maabara ya chuo kikuu cha Kilimo cha Sokoine SUA umethibitisha kuwepo…
Korede Bello staa wa ‘Godwin’ anaileta nyingine kali kwenye video; ‘Romantic’ feat. Tiwa Savage – (Video)!
Staa wa kutoka lebo ya Don Jazzy, Mavin Records na mwenye hit single ya Godwin, Korede Bello amerudi kuziweka headlines kwenye kurasa za burudani na ujio wa mdundo mpya pembeni…