AY anayofuraha kutupa single yake mpya ya msimu huu ‘holiday season’.. (Audio)
Wakati watu wengi tukijiandaa kupokea zawadi mbalimbali kutoka kwa watu wetu wa karibu kwenye msimu huu wa sikukuu, leo nina furaha kushare na wewe zawadi ambayo 'Mzee wa Commercial' AY ameamua…
Picha 10 za Frederick Sumaye na Edward Lowassa walivyoungana Arusha kwenye kampeni za Godbless Lema..
Sehemu kubwa ya Majimbo Tanzania tayari wamepata wawakilishi wao ambao ni Wabunge, kuna majimbo ambayo uchaguzi ulisogezwa mbele kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo Arusha Mjini. Kwa sababu Kampeni zinaendelea Arusha,…
List yote ya Mawaziri waliochujwa na kuteuliwa na Rais Magufuli hii hapa…
Zaidi ya mwezi mmoja umepita toka November 5 2015 ishuhudiwa kwa Rais Magufuli kula kiapo na kuanza kuiongoza Serikali ya Tanzania awamu ya tano... kulikuwa na stori nyingi kila mtu…
Maadhimisho ya siku ya haki za binadamu!!sentensi 8 kutoka kwa Makamu wa Rais Samia Suluhu..
Leo ni siku ya maadhimisho ya kitaifa ya haki za binadamu. Makamu wa Rais Samia Suluhu alikuwa mgeni rasmi katika ufunnguzi wa shughuli hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee, Dar…
Pichaz za Maji Maji FC wakiendelea na mazoezi bila kocha wao Mfinland Mika Lonnstrom na ripoti yao ya usajili
Bado siku mbili mikimiki ya Ligi Kuu soka Tanzania bara iweze kuendelea kama kawaida, baada ya kusimama kwa takribani wiki kadhaa ili kupisha maandalizi ya timu ya taifa na Michuano…
Pichaz 9 za Diwani Mkubwa Fella alivyoungana na Madiwani wa Temeke kuapishwa leo
2015 inakamilika huku tukishudia list kubwa ya wasanii na watu wengine wenye umaarufu mkubwa wakijitosa kuivaa siasa kwa miguu miwili. Mkurugenzi wa kundi la 'Mkubwa na Wanae', Said Hassan maarufu kwa…
Kwenye playlist yako Christmas hii unaweza kuiongeza na hii ya mrembo Yemi Alade- ‘Do As I Do’ (+Audio)
Staa wa muziki kutoka Nigeria, Yemi Alade amerudi kuziweka headlines kwenye kurasa za burudani na ujio wa single mpya kutoka kwenye album yake, Mama Africa mpya inayotegemea kuwa mtaani very…
Unajua ngoma ambayo Rais Obama kaisikiliza zaidi mwaka 2015? Ni hii ya Hiphop.. (+Audio)
Amini usiamini mtu wangu, Rais wa Marekani, Barack Obama ni miongoni wa viongozi wachache wa dunia wenye upendo mkubwa sana na muziki wa kizazi kipya na miondoko anayoikubali zaidi ni…
JK avunja ukimya, Waziri Mkuu sokoni K’koo, Lowassa Ikulu?, Msamaha wa Rais kwa wafungwa? -(Audio)
Uchambuzi wa magazeti redioni @CloudsFM umekupita? Inawezekana hukuzipata zote zilizoweka headlines kwenye magazeti ya Tanzania kama ilikupita hizi ni dakika 22 za zile zote kubwa za leo. Rais Dk. John Magufuli…
Magazeti 20 ya Tanzania yalivyoamka na habari kubwa leo Dec 10 2015
Ungana na reporter wako Millard Ayo kwenye kupata stori zote kubwa za Tanzania kupitia millardayo.com ambapo utazipata kwenye video na kwenye maandishi pia bila kusahau kila siku kuanzia saa moja…