Tazama video ya dakika 14 ikimuonyesha Rais Magufuli akifanya usafi Dar es salaam Dec 9 2015
Tayari nimekusogezea video ikimuonyesha Rais John Magufuli na Watanzania wengine walivyoshiriki katika siku ya usafi Tanzania leo Dec 9, 2015. Unayapata yote kwa kubonyeza Play hapa chini. https://www.youtube.com/watch?v=_5NcGiZyPDU Unataka kutumiwa…
Picha za Mwanza nao walivyoungana kusafisha Jiji lao #UsafiDAY… (+Pichaz)
Siku inaelekea kuisha lakini bado ripoti za #UsafiDAY zinazidi kunifikia, tumeona ya kona za Dar es Salaam, Songea na sasahivi ni zamu ya Rock City Mwanza City !! Nako mambo…
Jibu la Ronaldo baada ya kunong’onezana na kocha wa PSG, ni kweli anahamia PSG? Jibu lipo hapa …
Headlines za staa wa klabu ya Real Madrid Cristiano Ronaldo kama ataendelea kuitumikia klabu hiyo au ataihama izmechukua nafasi. Sababu kubwa zinatajwa ni namna mwenendo wa timu yake ulivyo sasa, wengi…
Zipate sentensi 3 za Rais MAGUFULI baada ya kukamilisha kwa shughuli ya usafi Dar….
Ikiwa leo Tanzania imeingia katika headlines za usafi Dec 9 badala ya kusheherekea sikukuu ya Uhuru, sasa Rais John Pombe Magufuli kaandika hizi sentensi kupitia ukurasa wake wa twitter. 'Watanzania…
Baada ya Pique wa Barcelona kuendelea na kauli zake za kejeli kwa Real Madrid, hizi ni kauli za Alvaro na Ronaldo …
Beki wa klabu ya FC Barcelona ya Hispania Gerard Pique ameonekana kuwa na tabia kichokozi kwa wachezaji wa timu ya Real Madrid ya Hispania ambao ni wapinzani wa jadi wa…
#UsafiDAY ni kila kona Tanzania, Songea nako mambo ni moto !! Mkuu wa Mkoa na watu wake.. (+Picha)
Ile #UsafiDAY sio Dar es Salaam pekeyake mtu wangu, imeihusu Tanzana kwa ujumla... kwa sababu aliyeagiza usafi ni Rais wa nchi, basi nakuhakikishia kwamba kila kona mzigo umepigwa tena kwa…
Kalapina kaguswa na kazi ya Rais Magufuli… karekodi huu wimbo unaitwa ‘Magufuli Balaa’ (+Audio)
Aliyekua mgombea ubunge jimbo la Kinondoni kupitia Chama cha ACT Wazalendo na msanii wa Hiphop Tanzania, Kalapina ameamua kutumia zaidi ya saa 48 kuingia studio na kuandika wimbo unaomuhusu Rais Magufuli...…
Picha 24 za Team CloudsFM na wasanii wa bongofleva walivyofanya usafi soko la Tandale Dsm
Leo ni mwendo wa hashtag za #UsafiDAY mtu wangu wa Facebook, Insta na Twitter !! Agizo la Rais Magufuli limetekelezeka kwa asilimia kubwa sana. Kuna wakati Dar ilitakata kwa sababu…
Utapenda kuona hii dance cover ya hawa wakaka wakicheza, ‘What Do You Mean’ ya Justin Bieber+ (Video)!
Kwenye list ya wasanii kutoka Marekani wanaofanya vizuri sana kwenye headlines za muziki sasa hivi, huwezi kuacha kulitaja jina la staa wa muziki, Justin Bieber. Hivi karibuni Justin Bieber alidondosha…
Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu na Bongo Movie walivyoisafisha Kinondoni leo … (+Picha)
Headlines za usafi ni kila sehemu ambapo leo Dec 9, 2015 wananchi viongozi na mastaa mbalimbali wa wameungana kuhakikisha mazingira yanakuwa safi na salama... camera ya millardayo.com imefika Wilaya ya…