JoJo anaileta kwetu single yake ya pili kwa mwaka huu; ‘Say Love’ na video yake imenifikia! – (Video)
Baada ya kupotea kwa miaka 9 kwenye headlines za burudani, msanii wa muziki wa R&B Marekani, JoJo alirudi kuichukua nafasi yake kwa kuzindua video mpya iliyopewa jina “When Love Hurts”…
Halle Berry na mume wake kuachana baada ya miaka miwili ya ndoa!? Ukweli huu hapa…
Muigizaji wa movie Hollywood, Halle Berry anaziandika headlines za leo kwenye kurasa za burudani baada ya yeye na mume wake kuweka wazi kuwa wanaachana baada ya kushindwa kurekebisha tofauti zao…
Picha za Mawaziri, Wabunge na wengine 16 ambao hawajapita kwenye uchaguzi 2015 hizi hapa..
Leo ni siku ya tatu bado headlines za Matokeo ya Uchaguzi Mkuu zimeendelea kutawala vichwa vya habari, ni headlines za Siasa zinazoendelea kutawala kwa sasa Tanzania. Uchaguzi uliofanyika October 25…
Beyonce alipelekwa Mahakamani kwa madai ya kuiba wimbo… Mahakama imeamua haya!
Miezi michache iliyopita mmoja ya waimbaji kutoka kwenye bendi ya Beyonce Knowles, Javon Lane alipeleka mahakamani kesi ya haki miliki juu ya wimbo wa XO wa Beyonce na kudai kuwa…
Mike Tyson kwenye headlines, aamua kuimba ‘Hotline Bling’ ya Drake… ilikuwaje? + (Video).
Video mpya ya wimbo wa Drake, Hotline Bling umeweka headlines nyingi sana kiasi cha wasanii wengi kuamua kutengeneza remix tofauti ya wimbo huo... Licha ya remix kibao kufanywa na wasanii…
Baada ya Blac Chyna kuchora tattoo mkononi, Future kayaandika haya kwenye Twitter!
Baada ya Blac Chyna kuweka headlines nyingi na tattoo mpya ya jina la Future, rapper huyo ameamua kuongea kupitia mitandao ya kijamii kuhusu kile ambacho bado anaamini kuwa ni uzushi.…
NEC na matokeo Uchaguzi TZ, EU na Uchaguzi , Jeshi la Polisi na vurugu, UKAWA na Dar, Mrema Bungeni?! (Audio)
Good Morning mtu wangu, uchambuzi wa magazeti @CloudsFM The People's Station umekupita? Jukumu langu kwako ni kuhakikisha zile zote kubwa za leo zinakufikia, baadhi zikiwa... NEC imetangaza matokeo ya Urais…
Magazeti ya Tanzania leo October 28, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumatano Octoba 28, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Full Time ya Sheffield Wednesday Vs Arsenal October 27 na matokeo ya mechi nyingine za Capital One (+Pichaz&Video)
Usiku wa Jumatano ya October 27 kulikuwa hakuna mechi za Ligi Kuu Uingereza ila ilikuwa ni siku ambayo michezo ya ya Kombe la Capital One iliendelea nchini Uingereza kwa mechi…
Sentensi za Mbowe mbele ya waandishi wa habari October 27, 2015….(+Audio)
Ni saa chache tu baada ya kuanza kutangazwa kwa matokeo ya Urais ya mwaka 2015 Tanzania ambapo leo October 27, 2015 mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kazungumza na waandishi wa…