Australia wanahalalisha matumizi ya Bangi? Hiki ndio kinachofatia kwa sasa..
Kuna idadi kubwa ya Majimbo Marekani wao hawana tatizo kabisa na masuala ya Bangi... imehalalishwa na inapatikana Madukani kama bidhaa nyingine za kawaida, sio nchi nyingi ambazo zimekubaliana kuhalalisha Bangi,…
Utamfahamu vizuri Marehemu Bi Kidude kwenye Filamu, hiki hapa kipande cha Trailer ya dakika 4.. (Video)
RIP Bi Kidude... Jina lake bado lina uzito mkubwa sana Afrika na ataendelea kukumbukwa kama Legend wa Muziki, April 17 2013 ilikuwa siku ya huzuni baada ya kuenea kwa taarifa juu…
Magazeti ya Tanzania leo October 17, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumamosi Octoba 17, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Dakika 6 za maneno ya mwisho ya marehemu Deo Filikunjombe
Deo Filikunjombe alikua mbunge wa Ludewa (CCM) ambaye alipata ajali ya Helikopta kwenye eneo la Selous na kufariki jioni ya October 15 2015 akiwa na watu wengine watatu akiwemo baba…
Baada ya kupewa adhabu na FA, Jose Mourinho kaamua maamuzi haya…
Kocha wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho ambaye yupo katika wakati mgumu kutokana na mwenendo mbovu wa timu yake. Mourinho ambaye amepigwa faini ya pound 50000 na kufungiwa mchezo mmoja…
Isikupite hii video walivyopokelewa Tanzania Diamond, Vanessa na Ommy Dimpoz baada ya tuzo za AFRIMMA.
Tuzo za AFRIMMA ni tuzo ambazo zimeasisiwa na Mnigeria ambaye Marekani yamekua makazi yake kwa muda mrefu tu na tuzo hizi zimekua zikifanyika kwa mara nyingine tena ndani ya ardhi ya…
Dakika 6 za CCM Mbeya na UKAWA Mwanza ! yanayomuudhi Kinana.. Lowassa waliomsubiria hotelini (audio)
Zimebaki siku tisa tu mpaka kuifikia October 25 2015 siku ya uchaguzi mkuu Tanzania ambao upo kwenye headlines na CCM, UKAWA na ACT WAZALENDO pamoja na vyama vingine vinavyoshiriki. Post…
Hii ndio Hospitali ya kwanza kufunguliwa kitengo cha kuhudumia Wanaume waliobakwa !!
Kesi za wanawake kubakwa au kudharirishwa kijinsia ni kitu ambacho kimesikika sana.. lakini ishu za matukio ya wanaume kubakwa sio stori ambazo zimesikika sana au kuzoeleka masikioni mwa wengi !!…
Kuelekea mechi dhidi ya Simba October 17, Mbeya City imeendelea na mazoezi bila kocha mkuu (+Pichaz)
Klabu ya Mbeya City ya jijini Mbeya ambayo October 17 itaikaribisha Simba katika uwanja wa Sokoine Mbeya kucheza mechi yake ya saba ya Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2015/2016. Mbeya…
Haruna Niyonzima kafunga ndoa Rwanda, uthibitisho kwenye picha sita…
Kiungo wa kimataifa wa Rwanda anayekipiga katika klabu ya Dar Es Salaam Young African Haruna Niyonzima October 15 amefunga ndoa na mzazi mwenzake. Haruna Niyonzima ambaye alifunga ndoa hiyo baada…