Ushindi ni wa Diamond MTV EMA?! imetangazwa hivi na MTV BASE..
Hii good news imekuja siku chache baada ya ushindi wa tuzo za AFRIMMA 2015 ambazo zilitolewa Dallas Texas Marekani ambako Diamond Platnumz alishinda tuzo tatu. Sasa kupitia twitter page ya…
Leo ni siku ya kumfahamu aliyesimamia uandishi wa hit single ya ‘Loyal’ ya Chris Brown
Kati ya wasanii wakubwa kwenye Muziki wa R&B Marekani, huwezi kuacha kumtaja Chris Brown na hits zake nyingi tu ikiwemo ya Loyal ambayo leo ndio nimemjua aliyeisimamia kwenye uandishi kupitia Interview…
Majeraha ya Modric yanavyoipa wakatimgumu Real Madrid…
Klabu ya Real Madrid imepata pigo kutokana na michezo ya kimataifa iliyokuwa inafanyika kwa muda wa wiki nzima baada ya taarifa za kuumia kwa kiungo wake tegemeo, Luka Modric. Kiungo…
Kutoka Karimjee Dar alivyoagwa Marehemu Dk. Abdallah Kigoda, mazishi ni leo Tanga
Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Tanzania, Dk. Abdallah Omar Kigoda uliwasili jana October 14 2015, kutoka India ambako Waziri huyo alifariki wakati akipatiwa Matibabu. Mwili ulihifadhiwa katika…
Lowassa na Magufuli mabadiliko TZ.. Mikoa 9 ya ushindi? Ibada na Uchaguzi? Mwamunyange hajalishwa sumu? Stori na Audio
Good Morning mtu wangu, leo ni October 15 2015 na kama kawaida lazima tuanze na uchambuzi wa magazeti redioni @CloudsFM, inawezekana ulikuwa mbali na radio yako na uchambuzi wa magazeti…
Fid Q, Mwasiti, Shilole na wengine kwenye video mpya ya mdundo wa uchaguzi 2015
Zimebakia siku 10 tu kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu wa Tanzania ambapo mastaa wa Bongo Fid Q, Mwasiti, Izzo Bizness, Young Dee, Shilole na Shaa wamekuja na wimbo maalum kwa…
Mourinho kapigwa stop moja… alafu na milioni 160 zinamtoka
Chama cha soka England (FA) kimempa kocha wa Chelsea Jose Mourinho adhabu kutokana na utovu wa nidhamu ambapo anatakiwa kulipa faini ya dola 77,000 ambazo kibongobongo ni zaidi ya milioni 160 pamoja na kufungiwa mechi moja huku FA…
Magazeti ya Tanzania Octoba 15, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Alhamisi Octoba 15, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Kilichonaswa kwenye video Roberto wa ‘Amarulah’ akiwa Mwanza
Roberto ni mwimbaji staa kutoka Zambia ambaye amevuka mipaka na hit single yake ya 'Amarulah' ambapo Wabongo hawakumcheleweshea na wakamleta Mwanza Tanzania Jembe Beach, unaweza kutazama ilivyokua hapa chini... https://www.youtube.com/watch?v=jzgf4wOYsSU Unataka…
Nyumba nzuri sio mamilioni… ni mipango na utundu kidogo kama hivi !!
Ni mara ngapi unatembelea nyumba ya mtu mwenye pesa zake alafu unagundua kazidisha vitu mpaka nyumba haina mvuto tena? sasa kupitia millardayo.com nitaendeleza utamaduni wa kuziweka picha za nyumba za…