Pichaz za Simba walivyojiandaa kuikabili Mbeya City Jumamosi hii
Weekend hii Ligi Kuu soka Tanzania bara inaendelea kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja tofauti tofauti, miongoni mwa michezo ambayo inatazamiwa kuwa na ushindani mkubwa ni mchezo kati ya Mbeya…
HekaHeka ya Jose Mara kwenye nyumba za kupanga imesikika leo…(Audio)
Hekaheka ya leo itakua tofauti kidogo na ambazo tumekuwa tukiwaletea kila siku. Leo Musa Hussein kapiga stori na Mtayarishaji wa leo Tena Michael Lukindo pamoja na Jose Mara ambaye amezungumzia…
Marehemu aliyekuwa Mgombea Ubunge wa ACT-Wazalendo Arusha ameagwa, Mazishi ni leo.. #RIP
Jimbo la Arusha Mjini limekuwa Jimbo la tatu kuahirisha Uchaguzi wa Wabunge baada ya baadhi ya Wagombea na nafasi hiyo kufariki muda mfupi kabla ya Uchaguzi Mkuu 2015. Kwa Jimbo…
Twitter imepunguza tena wafanyakazi… idadi ya watu waliopunguzwa ninayo hapa!
Twitter kwenye headlines mtu wangu, kama wewe ni mtumiaji mkubwa wa mtandao huo wa kijamii basi taarifa hii ikuguse popote pale ulipo... CEO wa kampuni ya Twitter, Jack Dorsey ametangaza…
Hii hapa inakuja, safari ndefu zaidi ya Ndege angani kwa saa 19 bila kutua !!
Kampuni kubwa ya Ndege Duniani ya Emirates ilitangaza kuanza safari ya Ndege zake kutoka Dubai mpaka Panama ambayo itaanza mwezi February 2016... hiyo ni safari yenye umbali wa Kilometa 13, 820…
Official Video ‘Same Old Love’ ngoma mpya ya Selena Gomez ninayo hapa…
Selena Gomez kaachia video ya ngoma yake mpya ‘Same Old Love’. Video yake imeongozwa na director Micheal Haussman... Karibu uitazame hapa.. https://www.youtube.com/watch?v=9h30Bx4Klxg&hd=1 Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka…
Collabo ya Fally Ipupa Feat. 2face Idibia ‘Sweet Life remix’ Nimekusogezea hapa…(Audio)
Fally Ipupa ameingia kwenye headlines za burudani baada ya kumshirikisha staa wa Nigeria 2Face Idibia katika remix ya ngoma yake 'Sweet Life'. Hii ni collabo ya pili kwa mastaa hao…
Nyerere Day, Mwapachu na CCM?, Rais JK Bagamoyo, Lowassa Geita + Umeme mgao umeisha? (Audio).
Uchambuzi wa magazeti @CloudsFM umekupita? Ninazo zote zilizoweka headlines kwenye kurasa za magazeti leo 0ctober 14 2015... kama hukupata muda wa kuzisikia zote karibu ucheki na hizi nyingine hapa chini…
Bow Wow anaileta kwako video ya kichupa chake kipya ‘Too Real’ – (Video)
Rapper Bow Wow anaziandika headlines za leo kwenye stori za burudani, baada ya kujiunga na management mpya chini ya P Diddy rapper huyo akaachia single yake ya kwanza chini ya…
Magazeti ya Tanzania Octoba 14, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumatano Octoba 14, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…