Album hii ya Drake yatajwa kuwa na mauzo ya juu zaidi ya kidigital kwa mwaka wa 2015!
Rapper kutoka kwenye lebo ya Cash Money Records, Drake anazidi kufaidi matunda yake mengi anayoyapata kupitia muziki wake kwa kuvunja rekodi kwenye chati mbalimbali za muziki. Kwa mujibu wa ripoti…
Hekaheka ya Mume kuuawa na mkwe wake Dar imenifikia, ilikuaje?..Audio
Kwenye Hekaheka ya leo kuna tukio la mauaji la kijana mmoja limetokea nyumbani kwa mama wa mke wake ambalo limeleta utata, Tukio limetokea Mwembechai, Dar es salaam ambapo awali inasemekana…
Young Thug anasemaje kuhusu kupenda kuvaa nguo za kike? Mapenzi ya jinsia moja je!?
Msanii wa muziki wa rap kutoka Marekani, Young Thug anajulikana kwa kazi zake nyingi za muziki lakini pia anajulikana zaidi kwa tabia yake ya kupenda kuvaa nguo za kike, kitu…
Kiwanda cha Cement cha Tajiri Aliko Dangote ujenzi umefikia hapa, pichaz nje mpaka ndani..
Kwenye list ya Matajiri wakubwa wanaotambulika Duniani kwa sasa yuko pia mfanyabiashara Alhaji Aliko Dangote ambaye ni Raia wa Nigeria, Afrika anatajwa kuwa tajiri wa kwanza kabisa. Utajiri wake unatokana…
Staa huyu wa Tennis duniani katika ushindi mwingine…
Mcheza tenesi namba moja kwa ubora duniani kwa upande wa wanaume Novak Djokovic ametwaa taji la michuano ya wazi China. Djokovic alimshinda mpinzani wake Rafael Nadal anayeshikilia nafasi ya nane…
Mapumziko ya Cristiano Ronaldo akiwa Morocco na vituko vyake..(Pichaz & Video)
Cristiano Ronaldo yupo Morocco baada ya kuifanikisha timu yake ya Taifa ya Ureno kupata ushindi wa bao 1-0 na kufuzu Euro 2016..sasa yupo zake mapumzikoni akila bata na bondia wa…
Hii ndio Official Video ya mdundo mpya wa Vanessa Mdee; Never Ever! – (Video)
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee maarufu pia kama Vee Money anaziandika headlines jumatatu hii kwenye kurasa za burudani! Baada ya single yake mpya 'Never Ever' kutambulishwa kwenye…
Mkapa nguvu kwa Magufuli, Lowassa afunika Musoma, JK & TANESCO + Makamba vs. Kingunge! #PowerBreakfast – (Audio).
Uchambuzi wa magazeti redioni @CloudsFM The Peoples Station umekupita? Ninazo zote kubwa za leo tarehe 12 October 2015 kwenye kurasa za magazeti... karibu uperuzi na hizi nyingine kama zilikupita. Mzee…
Magazeti ya Tanzania Octoba 12, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumatatu Octoba 12, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Licha ya kuwa busy wiki hii, Wayne Rooney alitenga muda wa kuenjoy na watoto wake (+Pichaz)
Mshambuliaji wa kimataifa wa Uingereza na nahodha wa Manchester United Wayne Rooney ambaye kwa hivi karibuni alikuwa na majukumu ya kuitumikia timu yake ya taifa ya Uingereza sambamba na tukio…