Magufuli na M4C, Zitto na JK, CCM na uchaguzi mkuu, majaribio ya faini Tz leo? >>> Stori Kubwa (Audio).
Alhamisi ya tarehe 17 September 2015 imeanza na uchambuzi wa magazeti @CloudsFM, na kwenye stori zilizoweka headlines zipo hizi ambazo zimesikika kwenye #PowerBreakfast... Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Magufuli…
Rais Obama kaandika haya kuhusu mtoto aliyekamatwa na saa wakidhani ni Bomu…
September 16 2015 nilikusogezea stori kuhusu ishu ya mtoto wa miaka 14, Ahmed Mohamed mwanafunzi wa MacArthur High School iliyoko Irving, Texas Marekani kukamatwa na Polisi baada ya kwenda na saa…
Magazeti ya Tanzania Septemba 17, 2015.. Udaku, michezo na hardnews !
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Alhamisi Septemba 17, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews, zote ziko…
Matokeo ya mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya na video za magoli nimekuwekea hapa mtu wangu…
Usiku wa September 16 kulikuwa na muendelezo wa mechi zingine za Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa michezo ya kadhaa ya Kundi E, F, G na H kupigwa. Mtu wangu wa…
Steven Gerrard ni mbaguzi wa watu weusi? kauli yake hii yamshangaza EL Hadji Diouf…
Mshambuliaji wa kimataifa wa Senegal na klabu ya Sabah ya Malaysia EL Hadji Diouf ameingia kwenye headlines baada ya siku kadhaa nyuma kuandikwa katika kitabu kipya cha kiungo wa kimataifa wa…
Kauli ya katibu mkuu wa Yanga kuhusu Cannavaro kuonyesha kumsuport mgombea Urais (+Audio)
Headlines za uchaguzi mkuu 2015 bado zinazidi kuchukua nafasi, tumekuwa tukiona watu maarufu kama wasanii wa filamu na Bongofleva wakionyesha hisia zao kwa wagombea wawapendao. Ila kwa wachezaji mpira wa…
Haya ni matokeo ya mechi zingine za Ligi Kuu Tanzania Bara September 16
Matokeo ya mechi zingine za Ligi Kuu Tanzania bara kama yamekupita mtu wangu ninayo hapa, klabu ya Mgambo JKT imepokea kipigo cha goli 2-0 toka kwa klabu ya Simba SC katika uwanja…
Kama yalikupita matokeo ya Maji Maji FC Vs Kagera Sugar yapo hapa (+Pichaz)
Ikiwa michezo kadhaa imepigwa katika viwanja mbalimbali Tanzania, klabu ya Maji Maji FC ya Songea ilikuwa mwenyeji wa timu ya Kagera Sugar kutoka Kaitaba Bukoba. Huenda ukawa umepata nafasi ya…
Teknolojia inatupeleka huku sasahivi, smartphone inajaa chaji kwa dakika 35 mtu wangu… (Pichaz & Video)
Watumiaji wa smartphones wakae tayari kuipokea hii good news mtu wangu, kuwa na smarthphone ni raha kwa sababu una uhakika wa kufanya mambo yako mengi sana kwa kupitia simu ya…
Haya ni matokeo ya mechi ya Yanga Vs Tanzania Prisons (+Pichaz)
Kama kawaida Jumatano ya September 16 kulikuwa na muendelezo wa mechi za Ligi Kuu soka Tanzania bara kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja tofauti. Team ya millardayo.com inakupa nafasi ya…