Ni zamu ya Nay wa Mitego kaonesha kumsupport Mgombea wa Urais 2015…
Mwaka huu ni headlines za Uchaguzi 2015 tumeona baadhi ya wasanii wameonesha kutoa support kwenye kipindi hiki kwa wagombea Urais wawili ambao ni John Pombe Magufuli atakaegombea CCM na Edward…
Huu ni mpira maalum utakaotumika katika michuano ya klabu Bingwa Ulaya 2015/2016 (Pichaz)
Kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu Uingereza na Ligi Kuu Hispania mashirikisho ya soka ya nchi husika huwa wanatangaza aina ya mpira utakaotumika katika msimu husika, tayari tumeshaona mpira unaotumika…
Zisikupite hizi Pichaz 15 za Ndege za Kifahari zaidi duniani mtu wangu…
Moja ya safari zinazokufanya uwe huru zaidi ni pamoja na usafiri wa ndege. Zipo ndege za aina mbalimbali na gharama zake hutegemea na umbali wa safari ya mtu..lakini pia watalam…
Haya ni masharti aliyopewa Mario Balotelli na klabu ya AC Milan
August 25 ni siku ambayo mshambuliaji wa kimataifa wa Italia Mario Balotelli ambaye alikuwa akiichezea Liverpool ya Uingereza athibitishwe kujiunga na klabu ya AC Milan ya Italia kwa mkopo wa muda…
Magufuli kwenye kampeni mikoani….
Wakati Ukawa wakiwa wamezuiliwa kutumia uwanja wa Jangwani uliopo Dar es Salaam kwenye shughuli za kampeni uchaguzi 2015, sasa hapa nina picha ambazo zikimuonesha mgombea wa Urais kupitia chama cha…
Video ya ‘Personally’ ya P-Square kwenye rekodi nyingine Afrika…
Kundi La P Square limeingia kwenye rekodi mpya baada ya video ya ngoma yao ya 'Personally' kufikisha views milioni 50 kupitia mtandao wa YouTube. Video hiyo iliyotoka mwaka 2013 imekuwa…
Sentesi za UKAWA baada ya LOWASSA kuzuiwa kufanya ziara mitaani..
Leo James Mbatia amezungumza na Vyombo vya habari kuhusu hatma ya uzinduzi wa kampeni zao ambazo zitafanyika August 29, Dar es salaam pamoja na mambo mengine mbalimbali ndani ya UKAWA…
Hivi ni viatu na gloves maalum Juma Kaseja katengeneza kwa ajili yake(Picha)
Golikipa mkongwe kwenye gemu la soka Tanzania Juma Kaseja, ni mchezaji wa soka wa kiwango cha juu kwa muda mrefu na baada ya kukaa nje ya lango kwa muda mrefu staa…
T.I & Young Thug washirikiana kuisogeza kwetu ‘Off-Set’ (Video).
T.I na Young Thug wanaziandika headlines za burudani kwa mara nyingine tena, baada ya kufanya kazi pamoja mwaka 2014 kwenye wimbo wa 'About the Money' time hii wanaisogeza kwetu 'Off-Set'. Kitu kizuri…
Nick Mbish na changamoto za muziki, Umoja wa Marapper wa kike, Lamar kuja na brand yake…#255 (Audio)
Kwenye zile Stori za 55 leo Nick Mbishi amesikika akisema ukiritimba umekuwa mkubwa kwenye muziki ndio maana muziki haukui,..hakuna maendeleo bila migogoro, na yeye anasema hawezi kuacha kufanya collabo na…