Cristiano Ronaldo kafanya hili tena kwa muhanga wa tetemeko la ardhi Nepal (Picha)
Mwezi April kulitokea tetemeko la ardhi Nepal, tetemeko ambalo liliua watu wapatao 9,000. Miongoni mwa watu waliokuwa wahanga wa tetemeko hilo ni kijana mwenye umri wa miaka 13 Jetin Shrestha ambaye wakati…
Hii ni mipango ya FC Barcelona kuhusu Neymar kuhamia Man United
Klabu ya Manchester United bado inasaka nyota kadhaa watakaojiunga na kikosi chao ili kuweza kuongeza nguvu na kucheza kwa kiwango cha juu. Man United ambayo kwa hivi karibuni ilimkosa Pedro…
Na DJ’s wanaolipwa zaidi kwa mwaka 2015 ni…? ‘Electronic Kings’ wajue hapa. (Pichaz + Video).
Mara kwa mara nimekuwa nikikusogezea orodha ya waigizaji bora duniani au msanii mwenye hela ndefu zaidi duniani au hata wanamichezo wanaolipwa zaidi duniani... na najua kote huko ulikaa karibu na…
Ni kweli ndoa ya Marlaw na Besta imevunjika? Stori ipo kwa Soudy Brown…#Uheard (Audio)
Soudy Brown kapata tetesi kuwa ndoa ya mastaa wawili Besta na Marlaw imevunjika..na akaona si vibaya kupata ukweli juu ya hilo. Amezungumza na Besta ambaye amesema si kweli kama ameondoka…
Young Dee Feat. Ben Pol kwenye hii Video mpya ‘Do It’
Young Dee amerudi kwenye headlines za burudani na kuachia ngoma yake mpya ya 'Do It' ndani akimshikisha Ben Pol. Video imefanyika katika maeneo tofauti ya Jiji la Dar es Salaam…
Hizi ni kauli tatu za Balotelli kuhusu Liverpool na masharti aliyopewa AC Milan
Mshambuliaji wa kimataifa wa Italia Mario Balotelli ambaye huwa ni kawaida kuwa katika headlines mbalimbali kutokana na tabia yake na matukio yake ambayo anafanya, August 27 kaongea sababu zilizomfanya asifanye vizuri…
Sababu ya Harmonize kuacha shule?, Mafanikio ya Nahreel kimataifa, Dodoma waja na tuzo zao..255 (Audio)
Harmonize ambaye ni zao la Diamond kutoka kundi la WCB kumbe aliamua kuacha shule akiwa kidato cha tatu..Leo amefunguka kwenye 255 na kusema aliacha kwa sababu babu yake alikua mtu wa…
Ripota na mpiga picha wake wauawa kazini wakiwa LIVE kwenye Interview…(Video)
Matukio ya raia kupigwa risasi ovyo mitaani limeendelea kuchukua nafasi kwenye headlines Marekani..Hili ni tukio lingine ambalo limetokea jana August 26 katika jiji la Virginia Marekani. Tv Ripota wa…
Gari 10 maarufu zinazomilikiwa na wachezaji Uingereza 2014, 2015 John Terry kaanza na hili (Pichaz)
Ikiwa zimepita siku kadhaa toka Ligi Kuu Uingereza ianze, mtu wangu wa nguvu nakusogeza karibu na magari 10 maarufu kwa wachezaji wa Ligi Kuu Uingereza kwa msimu uliopita 2014 .…
Hii ndio kamati mpya itakayosimamia shindano la Miss Tanzania akiwemo na Jokate Mwegelo
Najua nina watu wangu wanaopenda headline za Ma Miss sasa good news ninayotaka kukupatia ni kwamba shindano la kumsaka mrembo Miss Tanzania limerudi rasmi, na leo kulifanyika utambulisho wa kamati…