Chris Brown anazidi kuonyesha mapenzi kwa mwanae, aamua kumpatia zawadi ya album!
Msanii wa R&B Marekani Chris Brown siku hizi amekuwa mtu wa kuspend muda mwingi sana na mtoto wake wa kike, kila atakapo kwenda basi na mtoto Royalty yupo nyuma, sio…
Rapper T.I kwenye headlines akwepa deni, vyombo vya Sheria vyamkalia shingoni!
Msanii maarufu wa hiphop kutoka Marekani T.I anaziandika headlines siku ya leo, baada ya kukaa chini ya carptet kwenye headlines za vyombo vya Sheria kwa muda, kwa bahati mbaya urafiki…
Magazeti 18 ya Tanzania August 24 2015, habari kubwa za udaku, michezo na hardnews
Leo unisamehe kwa sababu ya kilichotokea mpaka kuchelewesha Magazeti kupatikana hapa lakini ni kawaida yangu kuweka magazeti mapema kabla ya saa mbili asubuhi kila siku ili kukupa zote kubwa kwenye…
FC Barcelona Vs Athletic Bilbao, matokeo yapo hapa (Picha&Video)
Klabu ya FC Barcelona imeshuka uwanjani kucheza mechi yake ya kwanza Ligi Kuu Hispania, FC Barcelona imeingia uwanjani kucheza na klabu ya Athletic Bilbao ikiwa ni wiki moja imepita toka…
Nimekusogezea matokeo ya mechi ya Everton Vs Man City (Picha&video)
Klabu ya Manchester City imeshuka dimbani August 23 katika uwanja wa Goodson Park kukipiga na mwenyeji wake klabu ya Everton katika mechi ya Ligi Kuu, Man City bado inaendeleza wimbi…
Hizi ni picha zingine kutoka Jangwani, Wema, Diamond, Mwana Fa wapo pia mtu wangu
Kama kawaida uzinduzi wa kampeni za CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa Urais, Ubunge na madiwani, uzinduzi wa CCM ambao ulipambwa na uwepo pia wa makada wa CCM kutoka katika tasnia…
Pedro aanza na bao Chelsea.
Mchezaji mpya wa Chelsea Pedro Rodriguez ameanza maisha mapya ndani ya klabu yake mpya baada ya kuifungia bao moja huku akitoa pasi ya mwisho kwa bao lingine katika mchezo wa…
Picha 30 za mwanzo kutoka Jangwani katika uzinduzi wa kampeni za CCM 2015
Tanzania imeingia katika mwaka wa uchaguzi na hivi karibuni kila chama cha kisiasa kilichoamua kusimamisha mgombea wa kugombea nyadhifa mbalimbali za kisiasa vinajiandaa kuzindua kampeni zake rasmi. August 23 ni…
Nilivyoyanasa kwenye video magoli ya Yanga vs Azam FC August 22 2015
Timu nyingine mbili maarufu kwenye ligi kuu ya Tanzania bara, Yanga na Azam FC zilikutana kwenye mechi uwanja wa taifa Dar es salaam August 22 2015 ambapo game iliishia kwenye…
Kuna haya madaraja ya gharama zaidi kujengwa yasikupite mtu wangu…Pichaz
Daraja la Kigamboni ambalo kwa sasa ujenzi wake unaendelea huenda likaingia kwenye rekodi ya madaraja makubwa Afrika Mashariki. Lakini ukuaji wa teknolojia duniani hasa sekta ya miundombinu imeendelea kukua zaidi…