Ulipitwa mapokezi ya Edward Lowassa Mwanza? kuna picha zake hapa..
Safari ya Mgombea Urais kupitia CHADEMA na Umoja wa UKAWA, Edward Ngoyai Lowassa kujitambulisha Mikoani na pia kutafuta Wadhamini yeye pamoja na Mgombea Mwenza Juma Haji Duni imeendelea kwa siku nne…
Rais Kikwete kwenye ofisi za CCM Lumumba Dar es salaam leo.
Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye ni President wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete leo August 17 2015 alikiongoza kikao cha kamati kuu maalum kwenye ofisi za makao makuu…
Video inayoonyesha Edward Lowassa alivyopokewa Arusha Aug 15.
August 15 2015 mgombea Urais 2015 kupitia UKAWA Edward Lowassa alikwenda Arusha kwa ajili ya kuomba wadhamini ambapo video hii hapa chini inaonyesha kwa juu tu watu walivyokusanyika kwenye huo…
Msamaha umetolewa kwa shindano la Miss Tanzania, maelezo ninayo hapa (+Audio)
December 2014 baada ya shindano la Miss Tanzania kukamilika liliingia kwenye headlines baada ya Baraza la sanaa la Taifa kutangaza kulifungia shindano hilo kwa miaka miwili baada ya kujiridhisha kwamba limekiuka…
Full video ya Kinondoni Talent Search 2015 mbele ya Rais JK alafu Mpoki MC !
Ni mashindano yaliyoanzishwa na mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda yakivitafuta vipaji vya Wachekeshaji, Dancers na Waimbaji ambapo Fainali yake ndio hii iliyofanyika Aug 15 2015, unaweza kubonyeza play…
NCHIMBI avunja Ukimya, BUTIKU atishwa na UKAWA, hatma ya KINGUNGE CCM…#MAGAZETINI AUGUST 17
MWANANCHI Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa amesema anawatakia kila la heri wanaobeza nguvu ya umma. Kutokana na umati wa watu waliojitokeza jana kumlaki kuanzia Uwanja wa Ndege…
Hizi ndio #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti NANE Tanzania August 17, 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Lowassa aiteka Mwanza, Rais Kikwete na wanaohama CCM, kuna uchakachuaji Uchaguzi 2015? (Audio)
Ni Jumatatu nyingine tena na magazeti ya August 17 2015 yako mtaani tayari, hizi ni stori zake kubwa nilizozinasa baadhi zikiwa... Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa asimamisha jiji la…
Magazeti ya Tanzania Agosti 17, 2015.. Udaku, michezo na hardnews !
Good morning mtu wangu.. Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumatatu Agosti 17,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo…
Pichaz za Birthday Party ya DJ na ndugu wa Diamond Platnumz, mastaa wa Bongo nao ndani !!
Sherehe za birthday nazo zina uzito wake, Unaambiwa Romy Jons ambaye ni Ndugu yake na msanii Diamond Platnumz lakini pia ni Official Dj wake alifanya Party yake August 16 2015 wakaalikwa…