Afya ya Mbowe, Dk.Slaa aikana akaunti ya Twitter, Kafulila na Polisi…#MAGAZETINI AUGUST 12
MWANANCHI Siku moja baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe kuugua ghafla akiwa kwenye maandaamano na kuwahishwa hospitali ya Taifa Muhimbili, imebainika kuwa hali hiyo…
Inawezekana Davido katishiwa maisha na kuamua kujifunza kujilinda kwa bastola?… (Pichaz + Video)
Superstaa wa muziki Nigeria Davido siku chache zilizopita alikuwa jijini Atlanta kwa ajili ya mafunzo madogo ya matumizi ya bunduki maarufu kama Gun Shooting Range lessons. Taarifa zinazosambaa mitandaoni wakati…
Stori zote kubwa nilizozinasa kutoka ndani ya Magazeti 9 ya Tanzania leo August12
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote naupandishwa kwenye account yangu ya Twitter @millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita,…
Hofu ya EBOLA Kigoma.. mengine Kura za Maoni CCM? Waziri Chikawe na msafara wa Lowassa? (Stori +Audio)
Kwenye stori kubwakubwa nimeziweka karibu na wewe hizi hapa mtu wangu, headlines kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania August 12 2015. Hofu ya Ugonjwa wa Ebola yatanda Kigoma baada ya…
Magazeti ya Tanzania Agosti 12, 2015.. Udaku, michezo na hardnews !
Good morning mtu wangu.. Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumatano Agosti 12,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo…
Nimekusogezea matokeo ya mechi ya Super Cup FC Barcelona vs Sevilla (Pichaz&Video) Zipo hapa
Usiku wa August 11 ulikuwa ni usiku ambao unazikutanisha timu mbili kutoka Hispania ambazo zote ni mabingwa, FC Barcelona ni Bingwa wa klabu Bingwa Barani Ulaya huku klabu ya Sevilla ikiwa…
Pedro Rodriguez kaweka wazi msimamo wake, Kocha je? Namba yake kaivaa nani game ya Super Cup?
Namba ya siku Pedro atakazoendelea kukaa ndani ya klabu ya FC Barcelona zinahesabika baada ya Rafinha kupewa nafasi ya kuanza katika kikosi cha kwanza kinachocheza na Sevilla katika Spanish Supercup. Pedro…
Japan kwenye headlines nyingine za teknolojia, unaambiwa kwa hii miwani hakuna camera inanasa sura yako !!
Japan wamekuja na style mpya ya kuwasiliana kupita mitandao, ni mawasiliano bila kuonana sura...ungependa kujua inakuaje? Japan National Institute of Informatics imekuja na teknolojia mpya ya miwani inayoitwa "Privacy Glasses".…
Doctor wa Chelsea bado mambo hayaeleweki, mengine ni haya baada ya kusimamishwa..
Kocha wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho bado anaamini kuwa mkuu wa madaktari wa timu hiyo Eva Carneiro alifanya uzembe wakati wa kumtibia Eden Hazard kitu kilichopelekea Mourinho kuona kama anachelewesha…
Alilewa kazini, picha ikapigwa na kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii, kilichofuata ni stori nyingine!
Nimekutana na stori moja kutoka Nigeria ambako Polisi aliyekuwa kazini amekamatwa baada ya picha inayomuonyesha akiwa amelewa kusambaa kwenye mitandao ya kijamii. Taarifa hiyo ilisambaa na kumfikia Mkuu wa Polisi…