Hiki hapa kikosi cha Spain kitakachoenda Brazil kutetea ubingwa wa dunia
Jana tulishuhudia kikosi cha timu ya taifa ya England kikitangazwa kwa ajili ya kwenda kwenye michuano ya kombe la dunia huko Brazil, leo hii kocha wa timu ya taifa ya…
Ni Luis Suarez kwa mara nyingine tena mabibi na mabwana
Pamoja na kukosa ubingwa wa ligi kuu ya England, inaonekana mwaka huu umekuwa mzuri sana kwa mshambuliaji wa Uruguay anayekipiga kwenye klabu ya Liverpool Luis Suarez. Siku kadhaa zilizopita alitajwa…
Ya moyoni mwa Rio Ferdinand kuhusu kuondoka Man Utd
Jana usiku maisha ya kisoka ya beki wa kimataifa wa England Rio Ferdinand ndani ya klabu ya Manchester United yalifikia mwisho baada ya kutangaza kwamba ameamua kuachana na klabu hiyo.…
Picha 5 za utani uliosambazwa baada ya Solange kumpiga ‘shemeji’ Jay Z
Baada ya kuvuja kwa video ikionyesha jinsi rapper Jay Z akipigwa na shemeji yake (Solange) wakiwa kwenye lift huku Beyonce mwenyewe akiwa pembeni yao akishuhudia ugomvi bila kujihusisha wala kuzuia,…
Sikiliza Magazeti yakisomwa Redioni leo Mei 13.
Utaratibu wa millardayo.com ni baada ya kusoma vichwa mbalimbali vya habari tunakupa nafasi ya kusikiliza tena ya kusikiliza na hapa yanachambuliwa na kusomwa na Paul James PJ kutoka kwenye kipindi…
Stori kubwa za Magazeti ya Tanzania May 13 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kukupatia stori kubwa za Magazeti ya Tanzania kila siku kabla ya saa mbili kamili asubuhi... ili nikutumie kila stori inayonifikia unaweza kujiunga na mimi twitter kwa…
#Exclusive: Dakika 5 za maamuzi mapya ya Prezzo kuhusu beef zake na Jaguar na Diamond on @AyoTV
Kwa miaka na miezi baadhi ya makubwa yaliyoripotiwa na media hasahasa kwenye mtandao na radio ni kuhusu beef ya Prezzo na msanii mwezake Jaguar lakini pia beef nyingine ya hivi…
Baada ya stori za kifo cha Dr Cheni kuenea.
Mwigizaji na muongozaji wa bongomovie Dr. Cheni ambaye alianza kupata umaarufu kwenye fani ya uigizaji na thamthilia za kundi la Kaole na sasa akiwa anafanya movie zake, 12 May alizushiwa…
Davido matatani kwa hiki alichokifanya.
Anaitwa Davido Adeleke lakini kwenye muziki tunamjua kama Davido ambae labda tatizo linalomkuta Davido ndilo lilelile kama kwa Chris Brown na Justin Bieber yani kuwa na pesa nyingi na umaarufu…
Hii sehemu ipo Canada.
Kivutio hiki cha kitalii kimegharimu dola za kimarekani milioni 19 ambazo ni sawa na zaidi ya bilioni 31 na milioni 300 za Kitanzania na kimechukua miaka mitano kukamilika kwa ujenzi…