Habari 10 za Amplifaya May 6 2014, waliokufa Kenya, CCM kuhusu UKAWA na mengine
Amplifaya ni dakika 120 za habari kumi za kila aina kwenye countdown ya saa moja mpaka saa tatu usiku kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa on Clouds FM 88.5 Dar es salaam…
Naambiwa na hii ni movie nyingine mpya ya bongo ya kutazama mwezi huu
Katika movie nilizowahi kuzitazama na kumkuta Jaqueline Wolper ni ile ya JB ya Taxi Driver ambayo kila alieiona na kunipa maoni yake aliniambia Wolper kacheza kiuhalisia sana mle ndani, yakiwa…
Full Time ya Man United vs Hull City May 6
Game ya Manchester United vs Hull City May 6 2014 imeisha kwa Man U kuchukua ushindi wa 3 zilizofungwa na Willson kwenye dakika ya 31 na 61 alafu Van Persier…
Sentensi 3 za Chidi Benz toka tukio la kumpiga mpenzi wake wa zamani
Rapper Chidi Benz aliingia kwenye headlines baada ya kudaiwa kumpiga Mwanamke ambae ni mpenzi wake wa zamani hivyo kupelekwa sero weekend ya Pasaka kwa tuhuma za kumpiga Mwanaisha kwenye baa…
Picha 6 za nyumba ya Madee kwa ndani na nje sasa hivi
Hit Maker wa 'pombe yangu' na 'tema mate tuwachape' leo ametoa Exclusive picha kupitia millardayo.com kuhusu mjengo wake ambao upo Mbezi ya Kimara Dar es salaam na umechukua miaka 5…
BREAKING: Taarifa ya Polisi kuhusu bomu lililolipuka Mwanza.
Usiku wa April 13 2014 lililipuka bomu kwenye baa moja Mianzini Arusha na kujeruhi zaidi ya watu 15 wengi wao wakiwa wanatazama mpira ambapo mpaka sasa haijajulikana ni nani alihusika.…
Picha za jinsi mpenzi wa yule bilionea mbaguzi wa Marekani anavyokwepa waandishi
Huyu mrembo anaitwa V Stiviano ambae ndio alivujisha maongezi ya simu kati yake na bilionea Donald Sterling ambae alitoa maneno mazito yenye ubaguzi dhidi ya watu weusi kwa kusema hataki…
Picha 6 za utani kwa Jose Mourinho na staili yake ya kupaki basi
Sehemu ya headlines za karibuni za kocha wa Chelsea Jose Mourinho ni pamoja na mbinu yake ya kujaza wachezaji golini ambayo imepewa umaarufu wa 'basi la Mourinho' Baada ya kulaumiwa…
Dakika 7 za You heard ya May6 2014 on XXL
Nash Mc ambaye ni Miongoni mwa wasanii wanaotokea Tamaduni Music leo ni kuhusu kumtelekeza msichana ambaye inasemekana alikua mpenzi wake ambaye baada ya kupata ujauzito inadaiwa Nash aliukataa na kukatisha…
Time hii ni NMB Jihudumie!
Benki ya NMB imezindua kampeni mpya ya Jihudumie yenye lengo la kuwezesha upatikanaji wa haraka wa huduma mbalimbali za benki hiyo. Akizindua kampeni hiyo jijini Dar es Salaam Afisa Mtendaji…