Picha za jinsi mpenzi wa yule bilionea mbaguzi wa Marekani anavyokwepa waandishi
Huyu mrembo anaitwa V Stiviano ambae ndio alivujisha maongezi ya simu kati yake na bilionea Donald Sterling ambae alitoa maneno mazito yenye ubaguzi dhidi ya watu weusi kwa kusema hataki…
Picha 6 za utani kwa Jose Mourinho na staili yake ya kupaki basi
Sehemu ya headlines za karibuni za kocha wa Chelsea Jose Mourinho ni pamoja na mbinu yake ya kujaza wachezaji golini ambayo imepewa umaarufu wa 'basi la Mourinho' Baada ya kulaumiwa…
Dakika 7 za You heard ya May6 2014 on XXL
Nash Mc ambaye ni Miongoni mwa wasanii wanaotokea Tamaduni Music leo ni kuhusu kumtelekeza msichana ambaye inasemekana alikua mpenzi wake ambaye baada ya kupata ujauzito inadaiwa Nash aliukataa na kukatisha…
Time hii ni NMB Jihudumie!
Benki ya NMB imezindua kampeni mpya ya Jihudumie yenye lengo la kuwezesha upatikanaji wa haraka wa huduma mbalimbali za benki hiyo. Akizindua kampeni hiyo jijini Dar es Salaam Afisa Mtendaji…
Suprise waliyofanyiwa the Baloziz ! @baloziz
Hawa ni washiriki wa mwanzo waliochaguliwa kwenye ule mchujo wa kuwa balozi wa game jipya town... kinywaji kipya kutoka Serengeti bweweries limited ambapo hawa sita wamekua wakiishi kwenye jumba moja.…
Huu ndiyo mfuko mpya unaoanzishwa na TFF utakaokua unatafuta vyanzo vya rasilimali.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeazimia kuanzisha Mfuko wa Maendeleo ya Mpira wa Miguu Tanzania (TFF Development Trust Fund). Uamuzi wa kuanzisha mfuko huo umepitishwa katika kikao cha…
Picha 5 za Ridhiwani Kikwete na Godfrey Mgimwa wakiapishwa mjengoni Dodoma leo.
Wabunge wapya walioingia mjengoni msimu huu ni pamoja na Mbunge Ridhiwani Kikwete kutoka jimbo la Chalinze na mbunge Godfrey Mgimwa kutoka jimbo la Kalenga leo wameapishwa rasmi kwenye Bunge la…
Teknolojia ilivyomuumbua huyu mwizi, aliiba simu ikajipiga picha na kumtumia mmiliki
Jinsi teknolojia inavyokua kuna baadhi ya vitu kwenye miaka inayokuja vitashindikana kufanyika kutokana na maboresho yanayofanyika kuvidhibiti. Unaambiwa kuna simu ya mkononi iliibwa lakini baadae kidogo ikatuma ujumbe mfupi na…
Kuhusu mtoto asiyezidi miaka 10 anayehudumia ‘Guest House’ sikiliza Hekaheka ya leo hapa.
Kwa siku za hivi karibuni idara ya Hekaheka imekua ikipokea taarifa za watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu na wengi wao hua wanaonekana kunyanyaswa au kufanyishwa vitendo ambavyo hawastahili,leo ni mpya…
Cheki Video ya Young Killer akiwashukuru Mashabiki kwa tuzo aliyopata kwenye #KTMA2014
Jumamosi Mei 03 kulikuwa na utoaji wa tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards ambapo kwa msanii kutoka 88.1 Mwanza Young Killer alishinda tuzo bora ya msanii bora anayechipukia/anayeibukia kwa mwaka…