Kuhusu picha za Snura anazoonekana yupo kwa Mganga wa Kienyeji,hii ni taarifa yake.
Siku chache zilizopita kupitia blogs na website mbalimbali zilisambaa picha zilizokuwa zikimuonyesha Snura akiwa kwa Mganga wa Kienyeji akiwa kama anapatiwa maagizo na mganga,ambapo kwa picha hizo zipo baadhi kamshika…
Ikiwa leo ni miaka 3 tangu vifo vya wanamuziki wa 5 Star,hiki ndicho alichokiandika Hammer Q.
Leo ni kumbukumbu ya vifo vya wanamuziki wa 5 Star ambayo chanzo cha vifo hivyo ni ajali ya basi aina ya Coaster iliyokuwa na namba za usajili T 361 BGE…
Picha 11 za ajali iliyotokea Mchana wa March 21 kwenye kituo cha mabasi Ubungo
Hii ni ajali iliyotokea mchana wa March 21 nje ya gheti la kutokea kituo cha mabasi yaendayo mikoanina imehusisha lori lililofeli breki na kwenda kugonga magari 5,mpaka sasa idadi kamili…
Kuhusu kuonekana Australia kwa vipande vya ndege ya Malaysia iliyopotea.
March 20 2014 Waziri mkuu wa Australia alitangaza bungeni kwamba nchi yake kupitia picha za satellite imeona vipande kwenye bahari ya hindi ambavyo vinaaminika kuwa mabaki ya ndege ya Malaysia…
Hii ndio ratiba ya robo fainali ya Champions league – Fahamu Man United imepangwa nani?
Ratiba ya ligi ya mabingwa wa ulaya hatua ya robo fainali imetoka na ipo kama ifuatavyo Barcelona v Atletico Madrid Real Madrid v Borussia Dortmund Paris St Germain v Chelsea…
Baada ya Dogo Janja kutangaza maamuzi,hii hapa kauli ya Baba yake mzazi.
Alhamisi ya March 20 2014 lilitoka tamko ambalo lina maamuzi ya msanii wa bongofleva Dogo Janja kuhusu kuomba msamaha na kuhitaji kurudi kwenye kundi lake za zamani la Tiptop connection…
Dakika 7 za Dogo Janja akitangaza maamuzi yake, anarudi Tiptop? kaomba msamaha kwa nani?
Hii ni Exclusive interview ya Dogo Janja on AyoTV ambayo ameamua kusema ya moyoni kuhusu kilichotokea baada ya kuondoka kwenye kundi la Tiptop Connection pia akaambatanisha na maamuzi yake ya…
Magazetini leo March 21 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania.
Kuanzia sasa, mtoto yeyote atakaezaliwa Saudi Arabia haruhusiwi kupewa haya majina
Wizara ya mambo ya ndani ya Saudi Arabia imepiga marufuku majina hamsini ambayo yapo kinyume na tamaduni pamoja na dini ambapo kuanzia sasa, wazazi kutoka falme hiyo hawataruhusiwa tena kuwapa…
Sentensi 8 za Mzee Kingunge Ngombale zilizompa makofi na vigelegele bunge la katiba
Mzee Kingunge Ngombale Mwiru ni miongoni mwa wazee wa long time kwenye Serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania ambapo time hii amepata nafasi ya kuwepo kwenye bunge la katiba…