Imebidi tu Oscar Pistorious aiuze hii nyumba, sababu ziko hapa
Kama unamkumbuka Oscar Pistoriuos mwanariadha wa South Africa ambae alimiliki vichwa vya habari kutokana na kumuua kwa risasi girlfriend wake siku ya wapendanao Feb 14 2013, kesi yake inaendelea Mahakamani…
Stori 10 za AMPLIFAYA March 20 2014, kuhusu shabiki wa Yanga aliefariki na mengine.
Amplifaya ni show ambayo inasikika kupitia Clouds FM Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa moja usiku ikihusika kutoa stori zote kumi kubwa za siku za siasa, muziki, michezo, movies, maisha na…
Heineken imeyaleta tena yale mashindano ya foosball @heineken_tz
Unaambi wa michuano ya Foosball inalenga mashabiki wa mpira na watumiaji wa Heineken® waliopo Afrika Mashariki, na itakwenda sambamba na Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA) katika maeneo ya burudani 16.…
Video mpya kutoka kwa Rick Ross – Devil is a Lie
Kwenye audio ya wimbo huu Jay Z amehusika lakini kwenye hii video ameonekana Rozay tu aki-rap verse yake ya kwenye wimbo wa Devil is a lie. Wimbo huu upo kwenye…
Mabeste kawasema tena B Hits, maneno yake yote yako hapa kuhusu M-Rap.
Mabeste Venance ex-member wa B hits music group kuna vitu hajavifurahia kwa upande wake kuhusu B hits na uongozi wake na kuamua kuandika status ndefu kwenye facebook. Kumbuka kwamba Mabeste…
Kipande kingine kutoka kwenye video ya ‘chuna buzi’ ya Shilole.
Tarehe 24/3/2014 ndio siku ambayo full video ya 'chuna buzi' kutoka kwa Shilole itaanza kuonekana rasmi kwenye vituo vya TV lakini video hiyo itakua na version mbili, moja ya Internet…
Msikilize Mbwiga leo March 20.
Huu ni udambwi dambwi wa Mbwiga wa Mbwiguke leo March akizungumzia michezo ya kipindi cha nyuma kupitia Sports Extra. 104.4 Clouds Fm inasikika ukiwa Dodoma Bonyeza play kusikiliza.
Alichosema Dwight Yorke juu ya timu 3 ambazo Man United inaweza kuzifunga robo fainali ulaya
Baada ya ushindi wa jana wa 3-0 dhidi ya Olympiakos ambao uliwapeleka Manchester United katika hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa wa ulaya, watu wengi hasa mashabiki wa…
Ilichosema Yanga kuhusu serikali kuchukua eneo lao na kujenga kituo cha mradi wa mabasi yaendayo kasi
Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi wa Jengo la Yanga, Francis Kifukwe amesema kituo cha mabasi yaendayo kasi (DARTS) kilichojengwa eneo Jangwani kipo ndani ya eneo lao, haya maneno kayatoa wakati…
Fahamu alichosema kuhusu kilichomuondoa FC Barcelona
Kocha wa klabu bingwa ya ulaya Bayern Munich, Pep Guardiola, amefunguka kwamba kipigo kutoka kwa Chelsea kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya miaka miwili iliyopita ndicho kitu kilichomfanya afungashe virago vyake…