Kuhusu shabiki wa Yanga aliyepoteza maisha kwenye mechi kati ya Azam na Yanga jana..
Hii ni Taarifa mbaya ni taarifa ya kifo cha moja kati ya mashabiki walioenda uwanjani kwa ajili ya kushuhudia mechi iliyokuwa ikichezwa kati ya Azam na Yanga uwanja wa Taifa…
Yanga na Simba zapigwa faini ya Milioni 25,sababu ipo hapa.
Klabu za Yanga na Simba zimeagizwa kulipa jumla ya sh.milioni 25 kutokana na uharibifu wa viti na vurugu zilizofanywa na washabiki wao kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati…
Huyu ndio bosi mpya wa mpya wa kocha ajaye wa Taifa Stars
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemteua Salum Madadi kuwa Mkurugenzi wake mpya wa Ufundi. Uteuzi huo umefanya na Kamati ya Utendaji katika kikao chake cha dharura kilichofanyika jana…
Sikiliza kilichomkuta tapeli aliyejifanya ndugu wa Geez Mabovu.
Stori za kuzushiwa kifo au magonjwa kwa mastar wa Tanzania imekua ni jambo tunalosikia mara kwa mara kupitia vyombo mbalimbali vya habari,sasa hii imemtokea jamaa aliyejifanya ni ndugu wa Geez…
Fahamu kilichomkuta beki huyu wa Simba kutoka Burundi
DAKTARI Mkuu wa Simba, Yassin Gembe, amezuia beki wake wa kati raia wa Burundi, Gilbert Kaze, kucheza mechi tano za Ligi Kuu Bara walizobakiwa nazo kwenye msimu huu. Uamuzi wa…
Simba SC vs Coastal Union – hizi ndio takwimu za mchezo huo
COASTAL Union ya Tanga itakuwa na wakati mgumu wikiendi hii itakapokutana na Simba kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Coastal haijawahi kupata ushindi wowote dhidi ya Simba tangu ipande…
Rwanda + Burundi kwenye kolabo moja, Alpha ft. Kidumu.
Alpha ambae anatokea Rwanda amewahi kuwa mshindi mara mbili kwenye shindano la Project Fame ambalo hufanyika nchini Kenya na amekua Marekani kwa miaka kadhaa akisomea muziki.
Vipande vitano kutoka kwenye video mpya ya Shilole ‘chuna buzi’
Hizi video tano ni sehemu ya intro ya video ya 'Chuna buzi' ya Shilole ambayo imekuwa directed na Nisher ambapo taarifa kutoka kwa director huyo, hizi video ni za internet…
Kuhusu Mwanachuo wa UDOM aliejirusha kutoka kwenye hili gorofa na kutaka kujiua.
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dodoma – UDOM aitwae KAMUGISHA ISACK (24) Mhaya, Mwaka wa Tatu Kitivo cha Sayansi ya Jamii (Social Science) anayeishi Block Namba 11, chumba Namba 62, alijitupa…
Hii ni Taarifa njema kwa ajili yenu wakazi wa Sinza toka Nmb.
NMB ikiwa ni benki ya chaguo la watanzania wengi jana Machi 19 ilifungua rasmi tawi lake jipya maeneo ya Sinza Mori mkabala na kituo cha kuwekea mafuta cha Big Born…