Kajala ataolewa tena? kuhusu huyu mume wa mtu je? alichofata China? na dawa za kulevya?
Hii ni interview ya kwanza ya mwigizaji Kajala, yani ndio kwa mara ya kwanza kahojiwa kwenye chombo cha habari (Exclusive on millardayo.com) baada ya kumiliki headlines kwa ishu zake tatu…
Hii ni kwa wale wa Mr. Flavour wa Nigeria, mmeiona hii video mpya ambayo kamtumia Dillish wa BBA?
Mr Flavour ni miongoni mwa Wasanii wachache wa Nigeria ambao wamewahi kualikwa na kuja kufanya show nchini Tanzania, time hii ametuletea video yake mpya ambayo ndani yake anaonekana Dillish ambae…
Picha nyingine 7, viti vya Ronaldo na Messi kwenye Ballon d’Or, hisia za Ronaldo na nyingine
Usiku wa January 13 2014 huko Zurich ndio Cristiano Ronaldo wa Real Madrid amekabidhiwa tuzo yake ya Ballon d'Or kutoka FIFA ambapo zifuatazo ni pichaz za matukio mbalimbali kwenye utoaji…
Ajali ya basi la Shabiby na Lori Singida.
Taarifa inasema abiria 28 wakiwemo watoto wanne wamejeruhiwa kwenye ajali ya hili basi la Shabiby baada ya kugongana na lori la mafuta lililokua tupu hivyo kupinduka kwenye kijiji cha Kisaki…
Kama ulimis tamko la Chadema Kigoma
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Kigoma Mjini kimetoa Matamko Matatu kuhusiana na hali ya kisiasa inayoendelea ndani ya chama hicho ambapo ajenda zilizochukua ukubwa ni ajenda ya…
Kama ulimis taarifa kwa umma kuhusu tuhuma dhidi ya Freeman Mbowe.
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TUHUMA DHIDI YA MWENYEKITI WA TAIFA, FREEMAN MBOWE Kama mojawapo ya mikakati ya baadhi ya watu wanaotaka kuhamisha mjadala wa makosa yanayowaandama ya utovu wa maadili…
kocha mpya wa Yanga umemuona? huyu hapa
Club ya Yanga kupitia Facebook Imemtangaza rasmi kwamba kocha Hans Van Der Plyum ndio kocha rasmi wa timu hiyo na wameingia mkataba aanze hiyo kazi mara moja. Anategemewa Jan 14…
Unaambiwa huyu ndio mchezaji bora wa dunia kwa Wanawake.
Huyu ndiye Mchezaji bora wa kike wa dunia wa tuzo ya Ballon D’or leo jijini Zurich, ni kipa wa timu ya taifa ya Ujerumani anaitwa Nadine Angerer. Nadine Angerer ambaye…
Umeona jinsi ilivyokua kwenye tuzo ya Ballon d’Or? Ronaldo, Messi na wengine hapa
Mshindi wa tuzo ya Ballon d'Or 2013 ni Cristiano Ronaldo wa Real Madrid ambapo baada ya kuipokea amesema 'hakuna maneno yanaweza kuielezea hii furaha au huu wakati, naishukuru club yangu…
Dakika tatu za kumsikiliza Mbwiga wa Mbwiguke leo Januari 13
Mbwiga leo kazungumzia mtu aliyekua akiogopwa na timu ya Kagera Ranger,zitumie dakika hizi tatu kusikiliza udambwi dambwi aliouzungumza,sikiliza kupitia 88.1 Clouds Fm Mwanza. Bonyeza play kusikiliza.