Wauza dawa za kulevya si wakakosea njia huko Ujerumani mpaka mzigo umekuja kutua huku
Unaambiwa kwenye mji wa Berlin huko Ujerumani kwenye supermarket tano yamepatikana mabox yaliyojaa ndizi ambamo ndani yake kulikua na dawa za kulevya zilizofichwa ambazo ni kilo mia moja arobaini. Ni…
Maduka ya Kariakoo yafungwa tena,sababu ipo hapa.
Hii ndo hali ilivyo asubuhi hii wafanyabiashara wa soko la kariakoo leo wamefunga maduka yao kama kushinikiza wafanyabiashara wenzao kuhudhuria mkutano wao ambao pia unahusisha wafanyabiashara wengine toka mikoani. Mikoa…
Sikiliza Magazeti ya leo yakisomwa Redioni
Hizi ni dakika 16 za kusikiliza kilichoandikwa kwenye magazeti mbalimbali leo Jan 9 kuna taarifa nyingi,ikiwemo yule dada aliyekamatwa na madawa Airpot,kuhusu watumishi wa wizara ya maliasili na utalii waliofukuzwa…
Magazeti ya leo January 09 2014
Kila siku hapa millardayo.com huwa naweka magazeti ya siku husika, kuanzia udaku michezo na hardnews nikiamini kwamba wakati mwingine unaweza kuwa mbali na yanakopatikana au yakawa yanachelewa kukufikia asubuhi. Lengo…
Wajue watu maarufu Tanzania ambao picha zao na majina vilitafutwa sana kwenye mtandao mwaka 2013
Google trends imetoa list ya majina/maneno ambayo yametafutwa sana kwenye mtandao wa google search kwa mwaka 2013 ambapo dunia nzima ime-search sana jina la Nelson Mandela likifuatiwa na mwigizaji Paul…
P. Diddy anafungua mwaka kwa style hii kwenye upande wa biashara.
Sean “Diddy” Combs anaunza mwaka mpya kwa ku-sign dili la kinywaji cha gharama kubwa aina ya DeLeón. Diddy amejijengea heshima kwenye kazi kama hizi kwa kuipa mafanikio Vodka ya Ciroc kwenye…
Hili ndo tamko la Jeshi la Polisi Nchini kuhusu kutekwa kwa Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Temeke
Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaama Suleiman Kova ameongea na Waandishi wa Habari na kutoa tamko kama Jeshi la Polisi Nchini kuhusiana na kutekwa kwa Mwnyekiti wa…
Itazame hapa video iliyomfanya msanii Jaguar wa Kenya kwenda gerezani.
Kwanza zilianza kusambaa picha ambazo zilimuonyesha Jaguar akiwa gerezani ambapo ilifahamika kwamba Jaguar hakua amepelekwa gerezani kwa kosa lolote la kuvunja sheria bali alikua anafanya video ya single yake mpya…
Msikilize Mbwiga wa Mbwiguke leo Jan 8
Mtekenyo huu huwa unausikiliza kupitia Sports Extra saa 3 usiku mpaka saa 4 hizi ni dakika 2 ndani ya dakika 60 za Sports Extra Clouds FM (88.0 Tabora) unapata nafasi…
Wale wa Diamond Platnumz, ujenzi wa nyumba yake unaendelea… kapost hii picha leo
Ni staa ambae kila jicho la habari limekua likimuangalia kila wakati, kila anachofanya hata kama ni cha kawaida kimekua ni stori na kinapata wepesi kuwafikia Watanzania bila yeye kuweka nguvu…